sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Mkuu umezingatia jasho la kwapa na kwenye msitu wa kati linavyoweza kusumbua wengine??Kawaida sana sometimes hata week poa tu hiyo sio mada
Kama yupo peke yake na shughuli zake(binafsi - kuuza duka) sio za kutoka jasho hata wiki unakaa tu fresh.Wadau huenda labda mimi ni mshamba.
Kuna ndugu kaja hapa home, sasa inapokuja suala la kuoga mimi nachojua inabidi uoge walau kila asubuhi ila ndugu naona utaratibu wake ni hadi siku 2 zipite
Je, ni kawaida?
kila mtu ana jasho lake mkuu, kuna wengine wana jasho kali na kuna wengine wapo kawaida tu.Mkuu umezingatia jasho la kwapa na kwenye msitu wa kati linavyoweza kusumbua wengine??
Kumbe kuna kuoga asubuhi tena?Wadau huenda labda mimi ni mshamba.
Kuna ndugu kaja hapa home, sasa inapokuja suala la kuoga mimi nachojua inabidi uoge walau kila asubuhi ila ndugu naona utaratibu wake ni hadi siku 2 zipite
Je, ni kawaida?
Wadau huenda labda mimi ni mshamba.
Kuna ndugu kaja hapa home, sasa inapokuja suala la kuoga mimi nachojua inabidi uoge walau kila asubuhi ila ndugu naona utaratibu wake ni hadi siku 2 zipite
Je, ni kawaida?