Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie aache ujinga ...aoge kwa siku mara tatu na umtolee mifano kuwa wana jf wote tuna oga kwa siku mara tatu.......... na tuko vizuri hahahahahahahahaha
Umetisha mkuu. Siku 3 ili anuke kama beberu [emoji41]Huyo anajitahidi sana, kiafya mwanaume anapaswa kuoga kila baada ya siku tatu.
Mwambie aache ujinga ...aoge kwa siku mara tatu na umtolee mifano kuwa wana jf wote tuna oga kwa siku mara tatu.......... na tuko vizuri hahahahahahahahaha
Na beberu bila harufu ni sawa na kuku tu.Umetisha mkuu. Siku 3 ili anuke kama beberu [emoji41]
Na kiafya mwanaume anapaswa kuoga kila baada ya siku 3.
😂😂 kwahiyo unataka kusema ule usemi wa "Usione, ukadhani" unawakilishwa vizuri!?Katika suala hilo tunatofautiana sana, kila mtu na utaratibu wake, sioni tatizo hapo.
Unaweza kukuta na yeye unakushangaa kwanini unaoga kila siku.
MnhhKuna mpaka wanawake...anapendeza sana ila ..siku 2..naa..hakogi na hujui..
kuoga sana kuna punguza vitu asili kwenye mwili...argh!