Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
mi nimekaa mbeya na schedule yangu ilikua ikishapita saa 10 jioni basi automaticaly kwenye swala zima la kuoga nakua nje ya mudaNilipokuwa nasoma Ifunda Tech. nilikuwa naoga mara mbili kwa wiki...Jumatano na Jumapili. Mimi ndio nilikuwa "toz nyangema", kuna watu walikuwa wanapitisha wiki mbili hasa waliotoka sehemu za joto.
Kula lazima ila kuoga ni hiyari.
Naimiss zaidi ile baridi ya Ifunda, Ulaya haitii mguu...teh teh teh!
na sijawahi vunja ratiba kuoga siku ambayo haipo kwenye ratiba yangu eti kwasababu leo nime-delay
ilifika wakati nikawa nasahau siku ya mwisho niliyooga ni lini mpaka nikumbuke matukio yaliyofanyika around siku hiyo. ni kama wale vikongwe waliozaliwa miaka ya nyuma ambao hawajui kwa hakika ni mwaka gani walizaliwa ila wanakumbuka matukio kama vile vita ya kwanza ya dunia ndio unajua huyu mzee atakua ni wa miaka ya 1910s