Ndugu yangu wa Kiume anaoga baada ya siku mbili, maji yapo ya kutosha. Hii ni kawaida?

mi nimekaa mbeya na schedule yangu ilikua ikishapita saa 10 jioni basi automaticaly kwenye swala zima la kuoga nakua nje ya muda

na sijawahi vunja ratiba kuoga siku ambayo haipo kwenye ratiba yangu eti kwasababu leo nime-delay

ilifika wakati nikawa nasahau siku ya mwisho niliyooga ni lini mpaka nikumbuke matukio yaliyofanyika around siku hiyo. ni kama wale vikongwe waliozaliwa miaka ya nyuma ambao hawajui kwa hakika ni mwaka gani walizaliwa ila wanakumbuka matukio kama vile vita ya kwanza ya dunia ndio unajua huyu mzee atakua ni wa miaka ya 1910s
 
Sehemu za baridi kama Iringa, Njombe , Makete, Mbeya, Mafinga kutooga ni jambo la kawaida. Ila maeneo ya joto bafu linakuita lenyewe.
 
Bora huyo mi bila siku 8 siogi na Mungu alijalia jasho lisilonuka ndo mweeee huwa naoga nikiishiwa nguvu tu
 
hydrophobia
 
Yani wewe unakaa mbeya halafu unaoga kila siku?mimi nikienda Tukuyu kwa wiki ni mara tatu tu.amna vumbi wala jasho sasa naoga ili iwaje
 
Bora yeye siku mbili...
Me kila nikitaka kuoga nasikia Saut ya malaika wa amani ikinambia "mbona hunuki usijisumbue tu" Na me ni nani nibishane na Saut ya Bwana...
Nina week sasa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]hatari sana
 

Possibly huwa anaoga hukohuko akishamaliza, si wajua kutembea na janaba haifai?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Nilikukanya usitoroke Milembe ukakaidi sasa ona unavyosumbua mtaani!
Daah, kumbe yule ndege niliyekua nimemnasa humu hii 'komenti' yako ndio imempeperusha!!
Ni hakika nitalipa tu!
 
Atakuwa ana chafua mashuka na kunuka pumbu na kikwapa kwa namna yeyote ile.
Mwambie aoge aache usela mavi.
 
Labda kuna manzi Wake anapenda harufu ya kipwepwe
 
Yaani umeamua kuja kunitangaza huku JF sasa kesho naanza kutotawaza kabisa nikitoka kukata gogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…