Wanawake wa Mbeya ni makeuri nadhani kuliko wanawake wote duniani, nduguyangu ukitaka kufa ukiwa na miaka 35 tu, oa mwanamke wa Mbeya, huyo demu anakudharau ukimuoa tu, usipokufa kwa presha ndani ya mwaka mmoja, nimekaa pale....Yeye ni mndali mtu wa mbeya
Ndio nimemkuta bikra ila kwasasa Hana tena
Mimi ningemuacha bila hata meseji moja, ningenyamaza kimya milele.Aiseeee mwanamke wa hivyo ningekuwa nimemwacha zamani, tena namwacha kwa one sms tu na namblock chap.
Hapo hakuna mwanamke kuna slay queen tu.
Ukimwoa huyo utajuta
Safi sana.Mimi ningemuacha bila hata meseji moja, ningenyamaza kimya milele.
Kwa hio pesa ya mahali anapanga yeye ?Wakuu huyu mwqnamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahali.
Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahali na ndoa jamani hii imekaa sawa??
Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli kuwa siwezi kutoa Zaidi ya 1.m kama deni sawa ntamalizia yeye anataka 2.6m Sasa inaamaana mtu uache kuexpand biashara uwekeze kwenye ndoa?? Hii ipoje wakuuu!
Hakika, na ukiona mwanamke ana jeuri ya kukwambia muachana, shituka, wewe ni plan B, yuko plan A anayempa kiburi.Hakuzaliwa peke yake, wako wengi hao tena wengine unapewa kwa reasonable dowry
Tena una mshukuru MunguHakika, na ukiona mwanamke ana jeuri ya kukwambia muachana, shituka, wewe ni plan B, yuko plan A anayempa kiburi.
Hujakosea upo sahihiSiku hizi mahari mnapanga na mademu zenu kwa SMS?
Huyo lazima ni chini ya 25,yupo kwenye kilele cha ubora!
Hakika, na ukiona mwanamke ana jeuri ya kukwambia muachana, shituka, wewe ni plan B, yuko plan A anayempa kiburi.
Una uhakika na unachokisema mkuu?Respect is everything.
Uncle una umri gani sorry for this question, cuz nasikia kinyaa kuhusu hili unaleta utoto na mwanamke wako mtoto mtoto. Hapo nini unataka tukushauri ( Binti kasema 1.mwambie Mama yako akutafutie. 2. Kama vipi tuachane) choose wisely. Alafu unasema Kama vipi utamalizia deni la 1.6M kwanini usitafute hiyo pesa yote utuletee ikiwa kamili ili tukukabidhi Binti yetu mwenye discipline kuzidi Mabinti wote wa humu JF maana inaonekana umeshidwa kumuacha mbali zaidi naona umekosa uvumilivu.
Mimi wa kwangu alikuwa anamaliza Chuo Coz pharmacy mwakajana kazaliwa 2003 it means she 22 now mwakajana sanaYaani hizi kengemaji zilizo 20 mpka 25yrs zinasumbua ajabu.
Kuna kamoja nilijaribu kukatreat kama mke,!!! aisee mliooa shikamooni. Na hapo ni miezi mitatu peke yake ila akili imenirudi.
Hundred percent Uncle.Una uhakika na unachokisema mkuu?
2.6m amekua pikikiki aina ya boxerNikisema Wanawake ni bidhaa kama walivyo nguruwe nakosea? Mtu anawezaje kusema ana thamani ya 2.6m? Hii ndiyo Gender equality wanayoidai?
Hivi vitoto jau sana, mimi cha kwangu ni kitumishi kabisa kina 24yrs now.Mimi wa kwangu alikuwa anamaliza Chuo Coz pharmacy mwakajana kazaliwa 2003 it means she 22 now mwakajana sana
Akawa akiwa na shida na hela ndo ananitafuta namtumia nikituma na story zinaisha, hakuwahi kunitafuta
Kawaida Ata tu kuni Julia hali yeye ni kuomba hela tu(nakiri kosa nilimuingia kwa Gia ya hela)
Amezaliwa dsm kakulia dsm, kamaliza fomfour Chuo moja kwa moja nilipomwambia nataka kumuoa akasema hataki kuolewa kwa sasa na hawezi kuishi nje dsm sababu ety hajawahi kuvuka Ata kwenda morogoro toka azaliwe, akasema hawez kuishi mwanza ni vijijini🤣atakuja kama kutembea as a tourist
Huyu anaendeshwa na hisia mwanaume unaendeshwajwe na hisia hakika kuna maumivu mbeleniHata kama umeitoa wewe isiwe sababu ya kutaka kukomaa na mtu asiekupenda.
🤣🤣🤣bora anunue pikipiki apige bora kuliko huyo anayeonekana ana dharau2.6m amekua pikikiki aina ya boxer
Aseee. Watoto wa 2000's ni kisangaHivi vitoto jau sana, mimi cha kwangu ni kitumishi kabisa kina 24yrs now.
Kutokana na mimi kuwa busy nikawa nakipa nafasi ya kujiendesha chenyewe. Mimi kazi yangu ikawa ni kutoa mahitaji ya msingi pale inapohitajika na kukipiga miti pale napopata muda wa kutosha. Nashangaa kinaanza kunambia sikipi muda mara sijali hisia zake aisee,,,
Ukawa ugomvi kabisa anadai namfanyia vile sababu nimemfanyia mambo mengi(kiuchumi) kwahiyo najua hawezi kuniacha.
Juzi nikakiambia tafuta watoto wenzio mkabembelezane nikakiachia kila kitu.
Ila ukistaajab ya Musa utaona ya Firauni, m4 mahari 😳, nadhan mimi ni mshamba au sielewi.........kama una eneo anza ujenzi wa mabanda ya uwani kisha upangishe.Ana 24 wazazi wake wanataka 4m yeye amepunguza mpaka 2.6m kisa anadai 1m sio Thamani yake
Na bado upo tu. Damn jikatae