Ndugu zangu Kuna upendo kweli hapa?

S

Sio wote wenye akili iyo wengine wanataka mambo mkubwa Kwa ajil ya showoff nakusahau Kuna kesho
 
Hizi ndoa za kileo haziwezi kudumu kbs, hata huyu dogo akikaza fuvu atakula za uso kama mc pilipili muda si mrefu! madogo siku hizi wanaingia kwenye ndoa wakiwa ma-ndezi kbs...ndio maana wanalipa na kupiga magoti wanapomvisha Pete mwali.
 
Ila Binti ana dharau, imagine anamwambia jamaa amwambie mama ake amtafutie mke 😂😂😂. Jamaa Kai hukulia poa hii kauli ila ni nzito saana
Huyu jamaa ata akimuacha huyu dem anaonekana ni wale nice guy wanaowasikiliza madem kwa kila wanachosema
Mwanaume huwezi kuwa timamu unam treat mwanamke kama inavotakiwa kisha huyo mwanamke awe na confidence ya kuandika sms kama hizo
 
Mahari sio inshu ishu nikuishi naye ml 2.6 ni ndogo kwa mahari ila kama ndio unayo mwambie tu
 
Utoto unamsumbua, msamehe bure, hajayajua maisha yanavyokwenda, nenda naye taratibu, ila kaza atachukua nafasi ya mme
 
Hii kauli "penda" bado hutumika duniani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…