Ndugu zangu Kuna upendo kweli hapa?

Ndugu zangu Kuna upendo kweli hapa?

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Wakuu huyu mwanamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahari.

Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahari na ndoa jamani hii imekaa sawa??

Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli kuwa siwezi kutoa zaidi ya 1.m kama deni sawa ntamalizia yeye anataka 2.6m Sasa ina maana mtu uache kuexpand biashara uwekeze kwenye ndoa?

Hii ipoje wakuuu!
 
1000001718.jpg
 
Wakuu huyu mwqnamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahali.

Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahali na ndoa jamani hii imekaa sawa??

Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli kuwa siwezi kutoa Zaidi ya 1.m kama deni sawa ntamalizia yeye anataka 2.6m Sasa inaamaana mtu uache kuexpand biashara uwekeze kwenye ndoa?? Hii ipoje wakuuu!
Bado unawaza ngono! Umasikini upo mlangoni
 
Mahali ❌️

Mahari ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️

➡️➡️➡️ Ushauri mwingine sina ila ni wazi mwanamke huyo anakudharau sana; na ni wazi unalazimisha mambo 👇👇👇. Hata ukikomaa naye siwaoni mkiwa na ndoa yenye furaha labda we mwanaume ukubali kuwa bumunda katika ndoa na familia yenu. Simp! 🚮

Simamia hapo hapo, yeye anataka 2.6M yeye ndio mpangaji wa mahari? anazipokea yeye, halafu anapata wapi ujasiri wa kusema tuachane itakuwa umekuwa zoba kwake anakujambisha, anataka utoe akiba yote ukimuoa atakuja kula mawe? wenzako wanawake ndo wanaenda kuomba kwa wazazi wao ili mchumba apunguziwe, wewe mchumba ndio anakupiga hapo haujaenda kwa wazazi? shituka
 
Mahali ❌️

Mahari ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️

➡️➡️➡️ Ushauri mwingine sina ila ni wazi mwanamke huyo anakudharau sana; na ni wazi unalazimisha mambo 👇👇👇. Hata ukikomaa naye siwaoni mkiwa na ndoa yenye furaha labda we mwanaume ukubali kuwa bumunda katika ndoa na familia yenu. Simp! 🚮

View attachment 3214837
Ahsante kwa kuniweka wazi mkuu
 
Back
Top Bottom