Wakuu huyu mwanamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahari.
Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahari na ndoa jamani hii imekaa sawa??
Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli kuwa siwezi kutoa zaidi ya 1.m kama deni sawa ntamalizia yeye anataka 2.6m Sasa ina maana mtu uache kuexpand biashara uwekeze kwenye ndoa?
Hii ipoje wakuuu!