Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

tunakuja
 
Mods wanabadirisha badirisha heading tu Wewe Mama ulichukua zamu huko km Moderator acha umama huruma unabadirisha badirisha heading ili iweje unataka kufanya nini? Heading ya kwanza anasema Bora angekua Jela Muda huu angekua amekula means anataka chakula =mtego huo heading ya Pili mkaweka kwamba mwenye msaada wowote amsaidie mleta Mada na heading ya tatu mnasema mwenye kazi yoyote amsaidie mleta Mada, Mods mmetumwa au? Wewe Mama nyuma ya keyboard hapo unabadirisha heading kila mara umetumwa au umeagizwa?
 
Mkiona sijibu pm zenu namb yangu hiyi0743014032 mnicheki tu kikubwa mjizile kama mnakuja kutafuta pesa fanyen kinachowaleta mana huku staree kama ,,,,,,,mtajikuta mnaitafutia hela starehe bila kuwasahau wenye mitaji ambapo mnashindwa wp muwekeze achanen na biashara njoen niwape michongo ya pesa sio unaisubili laki mbili wiki nzima kwenye m2 zako so bora ule njoo nikupe connection upige hela
 
Unatafuta ban mkuu
 
BGQ2E020CT0 Imethibitishwa. Tsh6,000.00 imetumwa kwa TIPS-TIGOPESA kwenye akaunti namba 255711406248 tarehe 26/7/24 saa 1:40 PM Ada Jumla Tsh180.00 (M-Pesa Ada Tsh180.00 + TOZO ya Serikali Tsh0.00). Salio lako la M-Pesa ni Tsh16,236.50.
Umefanya chamaana sana mkuu, sio wengine wanamzodoa mdau badala ya kumsaidia
 
Hiyo michongo inawafaa wenye mabavu tuuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…