Atachangiwa pesa ya fine lakini si pesa ya kula, watanzania unawajua au unawasikia!? Pesa ya matibabu hawachangi,lakini pesa ya msiba michango inatoka ya kumwaga!!Anza kuongea madhaifu ya maza watakutia ndani tu
Mungu akuinueNipo napata wali kwa mama ntilie kwa nguvu yenu najiskia faraja sana. Mbarikiwe
Acha dharau mkuu 😹😹Kwa hiyo wewe unaitwa ERICK MBISE sio?
nasikilizaga sana MITIHANI by Nash mc huwa napata matumainiPambana mzee maisha ndio yalivyo kiufupi kaza kweli kweli ikibidi sikiliza Ngoma ya harmonize jeshi mwanaume haonewi huruma hii dunia ni kuteseka mwanzo mwisho
Dharau kivipi?Acha dharau mkuu 😹😹
haha mm sio yatima wazazi wapo, nnamiaka25Una umri gani?
Nikufanyie Mpango wa kwenda Kwa watoto yatima
Yaah mziki ni Moja ya burudani inayokupa moyo mda wotenasikilizaga sana MITIHANI by Nash mc huwa napata matumaini
Nikaribishe MimiKweli life is not fair, ungekua karibu ningekukaribisha tule nyama hapa
nikaribishe fursa namm nile nyama siku yakeKweli life is not fair, ungekua karibu ningekukaribisha tule nyama hapa
Mzee una mtotohaha mm sio yatima wazazi wapo, nnamiaka25
ndio nnaeMzee una mtoto
Sasa mzee kama wewe baba unalia hivyo mtoto atakula nini duuh aiseendio nnae
Nyama zipi Natural au artificial 🤨Kweli life is not fair, ungekua karibu ningekukaribisha tule nyama hapa
Mtoto alipo huko(kwa bibi ake) anakula bila tatzo namm ntaendelea kumkumbuka kwa chochote kitu pale nnapobarikiwaSasa mzee kama wewe baba unalia hivyo mtoto atakula nini duuh aisee
Oooh unaweza kukimbia na Tv nchi60 bila kuanguka😐haha mm sio yatima wazazi wapo, nnamiaka25
AminaNi maombi yangu Mungu akumbuke sala zako na kujibu maombi yako.