Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

Nilikuwa nakesha kwenye ule uzi wa ajira za polis sasa baada ya kupigwa chini ndo matumain yameisha
 
Pole mkuu...kulikuwa na swali ila nimeona NB limejibika
 
Biashara siyo rahisi hivyo Kama unavyofikiria
Kama 80000 ni ndogo angeweka simu bondi alaf angekopa au angeazima ata 500,000kutoka kwa watu wa karibu alaf afanye biashara.
KWENYE MATATIZO UNATAKIWA UFIKIRI NJE YA BOX MAANA HAPO NDIPO.MAFANIKIO YANAPOKUJA
 
Kazi zipo nyingi tatizo tunabagua kazi, nenda kwa mama ntilie alie katibu na hapo ulipo, msaidie kuosha vyombo utapata ata ukoko. Tuache tabia za kuomba omba hela.
Omba kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…