Bonsipele69
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 364
- 915
- Thread starter
- #41
nashukuru sanaKiukweli niahawahi pitia haya...siwez mdhihaki mtu kwa mapito...pole kaka wewe ni jasiri...kesho yetu itakuwa kubwa kuliko jana yetu..piga moyo konde...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nashukuru sanaKiukweli niahawahi pitia haya...siwez mdhihaki mtu kwa mapito...pole kaka wewe ni jasiri...kesho yetu itakuwa kubwa kuliko jana yetu..piga moyo konde...
wala sitanii nikipata kibarua ntafarijika sanaMtoa mada kama unatania Mungu anakuona
AlhamduliLlah ameshatumiwa pesa ya kula. Hilo usiwe na shaka nalo.Ana njaa huyo usimuulize maswali mengi ww mtumie fedha
asante dadaAlhamduliLlah ameshatumiwa pesa ya kula. Hilo usiwe na shaka nalo.
Nasi tunakushukuru kwa kushukuru. Wengine wakifadhiliwa huwa hawajui kushukuru. Karibu tena.Asantenii jaman wanandugu nimeona miamala kadhaa MBARIKIWE sana sikutegemea kwakwel hakika ninyi ni familia
asanteNasi tunakushukuru kwa kushukuru. Wengine wakifadhiliwa huwa hawajui kushukuru. Karibu tena.
Umeulizwa elimu yako na fani uliyosomea na FaizaFoxy upate msaada kwa urahisiNawashukuru wote jaman.. Kwa wale mlioko Dar mnikumbuke kwa kibarua pia
nimeshamjibuKibarua chochote, nimesoma logistics&transport
Watu wanachunguza mpaka vitu havichunguziki 🤣😅salio la mtumaji hilo
Kama hutegemewi unaeza jikuta unapapendaNdio maana mtu akitoka anafanya tena kosa ili arudi gerezani. Gerezani ni chakula cha uhakika, tena unakula kwa mda uliopangwa.
😂Watu wanachunguza mpaka vitu havichunguziki 🤣😅
We jamaa; usiwadanganye wenzio. Hiyo ngarambe ya huko; hata hicho chakula hutakipenda.Ndio maana mtu akitoka anafanya tena kosa ili arudi gerezani. Gerezani ni chakula cha uhakika, tena unakula kwa mda uliopangwa.
asantePole sana mkuu
Kweli asipoteze hopePole Sana mkuu Ila usijiwazie mabaya
Jaribu kuwa positive Sana hata Kama haujala Ila kuwa na imani utakula