Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

Sifanyagi huo ufala na Sina hio hulka ya kuibia Watu kisengesenge yaan Wewe hujiulizi hata maswali unatuma tu Hela eti nimetoa Sadaka mafala hawatowahi kuishi Tanzania
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mkuu nipo kwenye gar wataniona chiz ujue ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ dah hit nch hiy
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kuna people na shoes ila we ni kijiko
Siibiwi kisengesenge kuna mmoja daily anatuma meseji nimtumie 20,000 au 50,000 nakula ganzi na hachoki kila baada ya Muda anatuma anafikiri Mimi ni Fala

Sasa just imagine mtu huyo akawatumia watu 100 halafu kwenye 100 watu 10 wakamtunuku anakua na Pesa kiasi gani laki 2 au laki 5 kwa siku

Msifanye vitu msivyovijua akileta mtu Mada km hizi uliza mpaka Jina la Mjumbe wake wa nyumba 10 akiweza akupe Namba ya Mjumbe uanze kuwasaka ndugu zake walipo wamsaidie ndugu yao kawa ombaomba mjini
 
Ndio mkuu wasio na mabavu muwe na mitaji mana si unajua kaz za mbao za mashqmba zilivyo MTU legeleg atanilaumu
Kazi gan za mbavu njombee...mkuu mimi navuna misitu hapo mafinga...sao hill labda uniambie ninyi ndio wale vijana ambao huwa tunawatumikisha kupakia...nguzo...mbao...vigogo nk...lakin pia sio kaz nzito caz mnakuwa weng kiasi...hao wachina tunashinda nao hapo...wahindi...wakina quaya...Usafir wa malori tunatumia wakina MT huwel...kwa nn uwatishe vijana..
 
Umasikin mbaya sana...ndio kinachokusumbua...
Hauwezi kunizungumzia umasikini na haunijui, wakati nakwambia nimeshawahi kumsaidia mtu Ila baadae baada ya kufanya uchunguzi wangu binafsi nilikuja kugundua kua sio mtu aliekua anahitaji msaada bali ni tapeli kwa hio nilijifunza nisiwe na huruma ya namna hio tena
 
We jama utakua unajua na kuelewa maisha, watu wengine wa nadhani ni masikhara kumbe jama ana njaa kabisa.
Huyo Jamaa yako alieonyesha mpaka Muamala ni bonge 1 la Fala na kukipatikana mafala km hao 100 tu Jamaa ana Laki 6 za ubwete kukipatikana mafala km hao 1000 tu Jamaa ana 6 million za ubwete mjini shule kila mtu ana akili zake na hakuna pepa la kufungua semesta
 
chai.jpg
 
Back
Top Bottom