Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

Assalam Allaykum,

Mpka sasa sijala na sjajua siku inaisha vipi, sina pesa wala mpango wa kupata hata buku kwa siku ya leo ukizingatia nimedamka asubuhi kutafuta vibarua viwandani na kwingineko lakini hola nimezurura hadi nimeona ntakuja anguka njiani bure nimekimbilia geto kujilaza nisikilizie tumbo linavyounguruma taratibu ndo nimekumbuka ningekuwa jela muda huu nna uhakika ningekuwa nimeshatia chochote mdomoni.

Daaah maisha haya. Nisimalize maneno ndugu zanguni kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke. mawasiliano 0711406248

NB: Kuhusu bando natumia tunnel vpn
Kwa Sasa daressalam sio mji salaama kwa mtu anaejitafuta
 
Nakazia.
Auze smartphone anunue kiswaswadu.Swali dogo tu,hivi kati ya ombaomba mwenye smartphone na ombaomba wenye kiswaswadu yupi utamsaidia?
Laiti mungejua umuhimu wa smart phone katika kutafuta kazi connection na msaada waharaka msinge mshauri, hivo, usiuuze simu buana achana nao hao,
 
Jipambanue na taarifa zako mfano
1.Level of education
2.Gender
3.Ujuzi wako
4.Uzoefu
5.Location
6.Sifa ya nyongeza ambayo inaweza kukuuza
1.Bachelor
2.Male
3.management skills(logistic and Transport
4.fresh
5.Dar as salaam mbagala
6.phone repair
 
Laiti mungejua umuhimu wa smart phone katika kutafuta kazi connection na msaada waharaka msinge mshauri, hivo, usiuuze simu buana achana nao hao,
Acha ufala na Wewe umetuma kiasi gani cha muamala Wewe Fala si umchangie smartphone nyingine
 
Assalam Allaykum,

Mpka sasa sijala na sjajua siku inaisha vipi, sina pesa wala mpango wa kupata hata buku kwa siku ya leo ukizingatia nimedamka asubuhi kutafuta vibarua viwandani na kwingineko lakini hola nimezurura hadi nimeona ntakuja anguka njiani bure nimekimbilia geto kujilaza nisikilizie tumbo linavyounguruma taratibu ndo nimekumbuka ningekuwa jela muda huu nna uhakika ningekuwa nimeshatia chochote mdomoni.

Daaah maisha haya. Nisimalize maneno ndugu zanguni kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke. mawasiliano 0711406248

NB: Kuhusu bando natumia tunnel vpn
mkuu upo mkoa gani.... kama upo town na una simu unakwama wapi maana nimesoma ulichoandika huna chaguo lingine mm napenda sana kushauri mtu afanye biashara ya genge....... ingia sokoni nunua karoti hoho bamia na nyanya chungu hivi vitu ukiwa na 30k una mtaji mkubwa sana...... usiniulize mtaji upate wapi wakati una simu.

ukishapata mtaji jitahidi uamke mapema sana mpaka ikifika saa tatu umeahafungasha mzigo wako kwa mchanganuo utakaoona utakupa faida zunguka mtaani kwa mama lishe hoteli ndogo ndogo huwezi kosa kuuza.

dalili za kuyashindwa maisha ni kukosa namna ya kupata chakula na dalili za uzezeta ni kuona vijana wanapambana kwa mitaji isiozidi 30k na wanaishi ww unaingia mtandaoni kuomba msaada wa ajira
 
Laiti mungejua umuhimu wa smart phone katika kutafuta kazi connection na msaada waharaka msinge mshauri, hivo, usiuuze simu buana achana nao hao,
Kwahiyo.mitandaoni ndo sehemu ya kupatia kazi,muda anaotumia kuchati hapa jf angezunguka mtaani na angepata kibarua .
Mwenye njaa hana muda wa kuchat kwani hela ya bando katoa wapi.
 
mkuu upo mkoa gani.... kama upo town na una simu unakwama wapi maana nimesoma ulichoandika huna chaguo lingine mm napenda sana kushauri mtu afanye biashara ya genge....... ingia sokoni nunua karoti hoho bamia na nyanya chungu hivi vitu ukiwa na 30k una mtaji mkubwa sana...... usiniulize mtaji upate wapi wakati una simu.

ukishapata mtaji jitahidi uamke mapema sana mpaka ikifika saa tatu umeahafungasha mzigo wako kwa mchanganuo utakaoona utakupa faida zunguka mtaani kwa mama lishe hoteli ndogo ndogo huwezi kosa kuuza.

dalili za kuyashindwa maisha ni kukosa namna ya kupata chakula na dalili za uzezeta ni kuona vijana wanapambana kwa mitaji isiozidi 30k na wanaishi ww unaingia mtandaoni kuomba msaada wa ajira
wazo lako nimelipenda nalifanyia kaz
 
1.Bachelor
2.Male
3.management skills(logistic and Transport
4.fresh
5.Dar as salaam mbagala
6.phone repair
Ongezea
7. Namba ya simu ya Mjumbe wa nyumba 10 tumuulize km anakutambua
8. Jina la mtaa na Namba ya nyumba unapoishi
9. Namba ya Wazazi wako tuulize je wanajua hali unayoipitia
10. Namba ya rafiki/ndugu wa karibu tumuulize unayopitia je anayafahamu
11. Jina lako kamili km lilivyo kwenye kitambulisho cha NIDA
12. PASSPORT SIZE iliyopigwa hivi karibuni
 
mkuu upo mkoa gani.... kama upo town na una simu unakwama wapi maana nimesoma ulichoandika huna chaguo lingine mm napenda sana kushauri mtu afanye biashara ya genge....... ingia sokoni nunua karoti hoho bamia na nyanya chungu hivi vitu ukiwa na 30k una mtaji mkubwa sana...... usiniulize mtaji upate wapi wakati una simu.

ukishapata mtaji jitahidi uamke mapema sana mpaka ikifika saa tatu umeahafungasha mzigo wako kwa mchanganuo utakaoona utakupa faida zunguka mtaani kwa mama lishe hoteli ndogo ndogo huwezi kosa kuuza.

dalili za kuyashindwa maisha ni kukosa namna ya kupata chakula na dalili za uzezeta ni kuona vijana wanapambana kwa mitaji isiozidi 30k na wanaishi ww unaingia mtandaoni kuomba msaada wa ajira
Hayo yata muozea bure hiyo sio biashara wakina mama hapa mtaani wanazunguka na michicha mpaka yanakauka.
 
Ongezea
7. Namba ya simu ya Mjumbe wa nyumba 10 tumuulize km anakutambua
8. Jina la mtaa na Namba ya nyumba unapoishi
9. Namba ya Wazazi wako tuulize je wanajua hali unayoipitia
10. Namba ya rafiki/ndugu wa karibu tumuulize unayopitia je anayafahamu
11. Jina lako kamili km lilivyo kwenye kitambulisho cha NIDA
12. PASSPORT SIZE iliyopigwa hivi karibuni
nielekeze ofisini nije navyo vyote hivyo
 
Acha ufala na Wewe umetuma kiasi gani cha muamala Wewe Fala si umchangie smartphone nyingine
Yeye ameomba msaada wa kibarua sasa wewe unafoka Nini? wewe Ni kapuku tu ndio maana unajadhiba Bila sababu ya msingi, kifupi wewe Ni useless na huu uzi haukuhusu maana hauna msaada kimawazo Wala kihali.
 
Back
Top Bottom