Mimi sioni tatizo kituo kutwa zinatirika aya za alubadiri wanazosoma watangazajiNaam ndugu zangu katika Imaan.
TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.
Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.
Kafala ndiyo nini na wewe?Jifunze kuandika kwanza ndiyo urukie mambo usiyoyajuwa.Kwa nn msiwaombe wale wanaotowaga kafala za nyama kwa waumini wenu kila sikukuu?
Aache kununua magoli?Mama yupo atawasaidia.
Naam ndugu zangu katika Imaan.
TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.
Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.
Mpigie MAZINGE aache kutukana wakristo achangie TV isife.expand...
Kama mtangazaji unajua kusoma albadiri ukiingia studio?Mimi mkristo ila najitolea kutangaza buree
Aah Albadiri tena!Kama mtangazaji unajua kusoma albadiri ukiingia studio?
Nauza nguruwe wangu kuchangia lete acc number
Aliyeleta dini Afrika alikuja kuua fikra zetu kabisa.Huu ukata hauko kwao peke yao kwa kweli.Vituo vingi vya kiislamu na wafanyabiashara wa kiislamu wamebanwa sana kupitia taasisi ya TRA.
Hapo zamani waislamu walidharauliwa eti hawawezi kufanya jambo.Katika kipindi cha miaka 20 iliyopita wameweza kufanya na kuwawacha wakristo nyuma katika maeneo.Hapo sasa ndipo balaa lilipoanza.
Nguvu ya ukandamizaji iliongezeka sana kipindi kifupi cha Magufuli.Unaletewa madai ya kodi ya pesa ambazo hujawahi kuzikamata na ukilipa unaletewa zingine.
Sera hiyo wakati wa mama haijabadilika.
Waislam Kuwazidi wakristo bado sana.Wamewazidi wakristo kwenye uwekezaji upi? Mashule, vyuo, hospitali, vituo vya afya au vyuo vya ufundi?
Subiri matusi ya wagalatia wajaa laanaNaam ndugu zangu katika Imaan.
TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.
Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.
Changing TV imaan inateketea kwa kukosa pesaUmeniita? Tatizo nini?
Si Kweli na hapa unapotisha watuMimi sioni tatizo kituo kutwa zinatirika aya za alubadiri wanazosoma watangazaji
Kwani kusoma albadiri kunahitaji wasomaji wangapi?
Mimi naona wanatosha
Haina noma mkuu. Tayari hizi noti nimezinyunyuzia mafuta ya kitimoto kufukuza majini.Kama upo mianzini kitimoto hizo pesa zako itabidi tuzisomee dua kwanza ndiyo tuzipokee
Walioianzisha wanajua qanachokifanya. Usiwe na hofu.Changing TV imaan inateketea kwa kukosa pesa
Makafiri wote maradhi Yao yanafanana.
Hivi nyie mbona mnapenda sana kuplay victims??Hapo zamani waislamu walidharauliwa eti hawawezi kufanya jambo
Una mroga hadi producer 🤣😃Kama mtangazaji unajua kusoma albadiri ukiingia studio?