Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Uombe MUNGU zikukubali, zikikukataa utakesha......mwanzoni vile vikaratasi vya maelekezo vilikua vimeandikwa side effects zake kabisa. Nina mtu namfahamu pia kagoma kumeza kabisa dawa....ukimuona hutaamini!
Weee...zikigoma si nasikia unabadilishiwa?

Hizo side effects zimeandikwa nini?

Huyo mtu aliyegoma yukoje siku hizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnadindishaga kimakusudi tuu[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nijaribu kuusaka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni kweli kabisa , ila tusisahau kuwa sio wote wenye ukwimi ni ukwimi kweli , wengi wamepandikizwa na nguvu za giza , so ukiambiwa una ukwimi jiulize Mara mbili mbili umeupataje ,

Mimi nilishaishi na ukwimi wa bandia , ila namshukuru Bwana Yesu kwa kuniponya ,

Natamani niandike ushuhuda lkn naona sitamaliza leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…