witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Weee...zikigoma si nasikia unabadilishiwa?Uombe MUNGU zikukubali, zikikukataa utakesha......mwanzoni vile vikaratasi vya maelekezo vilikua vimeandikwa side effects zake kabisa. Nina mtu namfahamu pia kagoma kumeza kabisa dawa....ukimuona hutaamini!
Hizo side effects zimeandikwa nini?
Huyo mtu aliyegoma yukoje siku hizi?
Sent using Jamii Forums mobile app