Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Uombe MUNGU zikukubali, zikikukataa utakesha......mwanzoni vile vikaratasi vya maelekezo vilikua vimeandikwa side effects zake kabisa. Nina mtu namfahamu pia kagoma kumeza kabisa dawa....ukimuona hutaamini!
Weee...zikigoma si nasikia unabadilishiwa?

Hizo side effects zimeandikwa nini?

Huyo mtu aliyegoma yukoje siku hizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu ni hatari eeeeeeh maana unaweza mpima mtu leo akawa yupo fiti kumbe jana yake aliuza mechi na mgonjwa ...

sema tu muda wa virusi kujionyesha unakuwa bado

kwa mimi mwanaume nikifiria haya hata kama gegedo lilikuwa limesimama linatulia lenyewe tena kwa spidi ya ajabu daaaaah


Sent using Jamii Forums mobile app
Mnadindishaga kimakusudi tuu[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kama ulikwenda wapi, niliwahi kuutafuta mara nyingi sana sana sikuwahi kuuona tena ila nakumbuka alikua na jina Surname kama Mbilinyi au something like that, Asha D Abinallah anaweza kukumbuka hii story, nadhani ndio alikusanya michango kama sikosei, ilikua kitambo kidogo, ilikau ina tittle kama "UKIMWI bila pesa ni Mateso"
Ngoja nijaribu kuusaka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni kweli kabisa , ila tusisahau kuwa sio wote wenye ukwimi ni ukwimi kweli , wengi wamepandikizwa na nguvu za giza , so ukiambiwa una ukwimi jiulize Mara mbili mbili umeupataje ,

Mimi nilishaishi na ukwimi wa bandia , ila namshukuru Bwana Yesu kwa kuniponya ,

Natamani niandike ushuhuda lkn naona sitamaliza leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom