Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Kama hofu ni kubwa afadhali ukaacha kabisa kufanya zinaa kwasababu condom nazo kuna muda zinapasukaga. Bahati mbaya imepasuka mwendo ukiwa mkali nadhani hapo ni hadi mwisho wa safari. Sijui kama uzima utakuwepo hapo

Mkorintho wa 6
Sasa mkuu uache?... Genye si mchezo bana, acha masihara[emoji134][emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wanaopenda kufanya kwenye giza tayari😎😎.
 
Kwan yeye alikua anajijua ni plus? Mana umesema alikua mlokole
 
Mi siujui mamy......ila naonaga wagonjwa wengi wakiugua hii ishu wanasema wametupiwa!

Na ndugu yangu anasemaga hivi hivi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimwi wa namna hiyo ni mbaya wako anaweza kwenda kwa waganda akamwambia akutumie ugonjwa huo ili tu ikuteze , , na ukienda kupima unakuta unayo ukimwi kabisa,

Ila dawa ya hiyo ukimwi fake ni Yesu tu , hakika ukimuendea kwa imani utapona kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ukimwi original mkuu inabd watu waende wapi?
 
Majibu yalitokaje mkuu ungemalizia hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ukipata cancer je... Au kisukari

am better here
Hayo magonjwa mawili ndio yanatesa mbaya mno! Bora HIV utakunywa dawa kuituliza. Ukipigwa na CANCER you are a living dead man sukari ndio balaa, i can't believe maisha bila kula chumvi yatakuwaje kwa upande wangu
 
Mwanzoni nilihisi huu uzi wengi wangeupita, wachangiaji wamekuwa wengi, afadhali tumepata mwamko wa kusoma vitu vya maana. Tutekeleze kile tulichoshauriwa.


ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ
 
Mkuu niliwahi uguza mgonjwa wa hivo miaka hiyo hakuna ARV yaan anapitia dalili zote, alivyokuwa anateseka!... Aisee ngoja niishie hapa
Mkuu hili we liache....nimelipitia kwa mapana na marefu.......unajikuta daily machozi yanakutoka .......halafu walivyo wajeuri sasa...bora awe mpole......Mungu tuhurumie.....janga linakuwa janga pale kipato kinapokuwa hafifu......ee Mola naumba utusikie....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…