Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Duuh hatarii mzee...[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ugonjwa unataka pesa pesa pesa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupima mapema na kuanza 'kujitunza' Mtu bado una nafasi nzuri tu ukijilinganisha na mwenye kisukari, presha n.k.

Tatizo ni hilo jina tu la ukimwi.
 
KAPATA MZEE WA UPAKO WEWE N NAN MPAKA USIUPATE?
 
Naona vijana hufunguwa majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utahalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini.
Mkuu umeongea ukweli lakini ukiwausia vijana jambo muhimu kama hili wao huleta mizaha yao isiyokuwa na kichwa wala miguu: eti "utalambaje sukari ndani ya mfuko?" Ni kweli kuna baadhi ya wanaume au wanawake ambao wanaweza kutembea na waathirika wasiwaaambukize lakini hiki sio kigezo cha kufanya ngono zembe. Labda niongee kwa lugha rahisi ili vijana mnielewe: Kama kijana unataka kut0mba wewe t0mba sana lakini hakikisha mmepimana virusi kwanza.
 
Mkuu utakua na kithethe ila umesema kweli
 
Kinachoniumizaga kuliko vyote ni mtoto kuzaliwa na hili gonjwa kwa makosa ya wazazi wao yaniiii inauma sana katoto kanateseka. Bora siku hizi kuna dawa ila bado kuna watu wakishajua status zao hawataki kwenda klinik kisa wataulizwa why hunyonyeshi?? Inauma inauma mtt mdogo kupata gonjwa hili
 
Ripoti kama inavyoonekana hapo, njombe ni hatariiiiii. ......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Speeking from my experience, wanawake wengi hawakumbuki matumizi ya condom kabisa ni wachache sana wanaokumbuka, najuwa wengi mtasema hao wasiokumbuka hawajielewi ila nakwambia ukweli asilimia kubwa ya wananwake wawe wasomi na hata si wasomi, wenye dini na hata wasio na dini, waliotulia na wale malaya hawakumbuki matumizi ya condom wakati wa tendo la uzinzi. Ni mmoja kwa 10.

Kwa wale maplayer mtalithibitisha hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…