Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Kwa Sasa hali ilivyo kuwa mbaya bora kupima hakuna namna
 
Kupima sio kazi,kuchukua majibu best
Namwambia kujipima home!...hospital miyeyusho sana yaan wale manesi hawana customer care!

Watu wanatokaga mle wanaangua vilio kama nini!

Nasikia wakikupima siku hizi hupewi admonition wala at least well recommendation about a certain disease!...Ni unamwagiwa majibu hapo ukajiju[emoji848]...too bad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka kitaa walikuwa wale wa damu salama nikaenda kujitolea tulipewa majibu watu wanne palepale hatari 😄😄😄😄
 
Sio tishio kama hujaupata.Ngoja uukwae ndio utajua namna gan h.i.v haifanan na gonjwa lolote lile
 
Unaongea kama yamekukuta.
Asante kwa ujumbe.
 
Binafsi naamini dawa hizo zina side effect zake. Na nafsi yangu inakataa kunywa vidonge hivyo vikubwa kila siku ya siku zangu zilizobaki.
Sishawishi watu waniige, ila mimi nikiukwaa siwapi nafasi virusi wanitese kwa ujumla.
Mkuu Kuna magonjwa yanatesa zaidi ya HIV, na mbaya zaidi hayana Dawa hata za kufariji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…