James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Curiosity killed the cat...ukimwi upo na naamini ushagusa kila familia hapa Tanzania.acheni kudanganyana ukimwi ni propaganda za wazungu wakina Robert Gallo.nani kashawahi kumuona H.I.V kwenye maisha yake aseme hapa yukoje .hakuna kitu kinachoitwa HIV.ukimwi ni imani kama imani nyingine tu but its not real
Story ya Verosa umeikana?KUPATA UKIMWI NI HADI ULOGWE!
Mkuu hongera kwa ushuhuda lakini huyo dadako ndo yupo ktk pick ya umri sasa ndiyo maana unamuona yupo mzuri zaidi. However, aliwai sana kuzaa which is good.Ukimwi haupimwi kwa siku moja brother, Je unafahamu kuwa CD4 zikipanda mwenye virus anaweza kupima na akaonekana mzima? Waliopata ukimwi wote hawakupenda na pengine walijitunza sana kuliko wewe.
Ukimwi hautabiriki, na sikuizi kuna njia nyingi za kupunguza kasi ya virus kishambulia seli lakini hiyo haimaanishi hauwezi kuenea kama ngono zitafanyika kizembe namna hiyo.
Kuna dada tunaheshimiana sana na huwa ananiomba ushauri mara nyingi akipata tatizo. Yeye anaishi na virus vya ukimwi kwa miaka mingi sana lakini ukimuona huwezi kumjua na ameumbika haswaa.
Kuna tembe fulani zinaitwa PEP na PREP, hizi zinatumika kuzuia maambukizi pia mama wajawazito wenye maambukizi hutumia dawa hizi kumkinga mtoto dhidi ya maambukizi.
Aliniambia yeye huwa akizitumia dawa hizo Japo ni mwathirika lakini ukimpima akiwa ameshatumia dawa hizo huwezi kupata reaction kwamba yeye ni HIV +. Kuna jamaa ameishi naye kama mchumba wake kwa muda sana bila kujua mwanamke ni mgonjwa maana walienda kupima akaonekana ni mzima.
Kwaiyo cheza salama lakini ikitokea bahati mbaya umepata maambukizi sio mwisho wa maisha, sikuizi wenye ukimwi wanaishi maisha marefu pia ukipima ukawa salama usijiamini sana kwamaana leo wewe ni mzima kesho utakua mgonjwa, kuugua sio kufa.
Nina dada yangu wa tumbo moja alipata maambukizi hayo mwaka 1993 kipindi ambacho Ukimwi ulikua ni tishio sana, amezaa watoto wanne (4) na wote wako salama. Hajawai kuwanyonyesha lakini wote wamekua.
Leo hii tunaongea ametimiza miaka 26 akiwa na HIV lakini ukikutana naye pamoja na kuwa ni mgonjwa huwezi kuamini. Ana shape nzuri na mwili wake umenawiri kama binti alieanza kubalehe, matiti yake bado yamesimama pamoja na umri wake.
Kama Mzima mshukuru Mungu na uache zinaa na kutamani wanawake wazuri, shetani hupenda kukaa sehemu nzuri.
Mkorintho wa 6
Pepo lilitoka?Kuna dem nlimwambia lazima tupime akakataa nikamwambia pita hivi..... Kenge mkubwa ww Punguani
Akaanza kulia oooh tumia kondom nikamwambia Sawa ila kupima lazima Sio ombi akagoma tena nikamwambia hunipata shindwaaaa pepo......
Tokaaaa shetan shindwaaaa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo. Ukiumwa homa ya maini au kansa jamii inakuonea huruma ila ukimwi jamii inakutenga. Msongo wa mawazo na upweke ni mkubwa zaidi ya hayo magonjwa mengine. Pia picha iliyojengwa kuhusu huu ugonjwa.Mkuu Kuna magonjwa yanatesa zaidi ya HIV, na mbaya zaidi hayana Dawa hata za kufariji.
Wale wako vizuri sana....hata mi nilipima kwao mwaka jana kitaa, sema kuonekana kitaa mara chache mnoo!Nakumbuka kitaa walikuwa wale wa damu salama nikaenda kujitolea tulipewa majibu watu wanne palepale hatari [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sawa mkuu naheshimu mawazo yakoNdio hivyo. Ukiumwa homa ya maini au kansa jamii inakuonea huruma ila ukimwi jamii inakutenga. Msongo wa mawazo na upweke ni mkubwa zaidi ya hayo magonjwa mengine. Pia picha iliyojengwa kuhusu huu ugonjwa.
Wale wagonjwa msifuate mawazo yangu.
Wiki moja iliyopita nikapata demu,kutokana na kazi yake nikajua huyu anakutana na wanaume kibao,maana mtoto ana sifa zile ambazo wanaume wengi tunaanzia kuzitazama kabla hatujaenda deep,
Nikarusha vocals mtoto akanilewa,na hata tulipopanga kukutana alifika kiroho safi,kuomba mzigo ndipo nilipompendea zaidi,maana alikataa katakata twende tukapime kwanza,condom alisema hapendi kabisa,kwa kuwa sikuwa na shaka huyooo mpaka laboratory tukapima then tukarudi room kupiga show ya kibabe,nilipanga kulala naye usiku mmoja,lakini kwa kuonesha anajari afya yake nikaongeza na siku ya pili tukala raha na jana ndipo tukarudi sehemu zetu za kazi.
Wanawake wakiwa na msimamo kama wa huyu demu hakika UKIMWI tutauepuka,maana wanaume huwa hatukumbuki kabisa swala la afya pale kichwa cha chini kikizidiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapo ndipo vijana tunapoangamia. Baada ya kumpima hutoona vidudu ndani ya siku alizoupata. Utataka umuoneshe kuwa wewe sio mwanaume wa Dar na cha mkongo utapakaa ili usugue K dakika 45 bila kukojoa.Mi najiuliza tu...ukimpima mtu leo then mkaenda sex, je kama aliupata 3 days back na kipimo hakiwezi kuonesha!
Condom ndo the best asee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenena vizuri...Sio tishio kama hujaupata.Ngoja uukwae ndio utajua namna gan h.i.v haifanan na gonjwa lolote lile
[emoji16]Pumbavu X 1000 wewe.
Nyie vitoto vya 97 mnatia hasira sanaa
Mkuu hapo kwenye kulala nae si hatari kabla ya vipimoKuwa makini zaidi , siku hizi kuna kinywaji ukinywa kama ni positive.kile kipimo kinakuonyesha upo negative.
Njia nzuri ya kumpima mtu ni lala nae usiku kucha ai shinda nae mchana hakikisha hanywi COCACOLA, Mda wa masaa ata 12 mkiamka asubuhi mkapime.
Mgonjwa wa HIV akinywa cocacola kipimo kinaonyesha negative.
Na hiyo njia waathirika wengi wanaijua hivyo ukimwambia kupima anatoka nyumbani akiwa kajishindilia cocacola akifika kupima unakuta negative
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh! We omba tu usiupate, unafikiri kujimaliza ni rahisi?Nikiumwa huu ugonjwa najimaliza tu, siwapi nafasi virusi wanitese.
Duh, aisee sikuwahi kulijua hili mkuu...kweli jf ni darasa huru aisee!Kuwa makini zaidi , siku hizi kuna kinywaji ukinywa kama ni positive.kile kipimo kinakuonyesha upo negative.
Njia nzuri ya kumpima mtu ni lala nae usiku kucha ai shinda nae mchana hakikisha hanywi COCACOLA, Mda wa masaa ata 12 mkiamka asubuhi mkapime.
Mgonjwa wa HIV akinywa cocacola kipimo kinaonyesha negative.
Na hiyo njia waathirika wengi wanaijua hivyo ukimwambia kupima anatoka nyumbani akiwa kajishindilia cocacola akifika kupima unakuta negative
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi hospital za serikali bure Wana mahema yao kabisa pembeniWale wako vizuri sana....hata mi nilipima kwao mwaka jana kitaa, sema kuonekana kitaa mara chache mnoo!
Watu wengi huwa hawapimi kitaa sijui why?[emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani vidonge wanamezaje kwa siku?Binafsi naamini dawa hizo zina side effect zake. Na nafsi yangu inakataa kunywa vidonge hivyo vikubwa kila siku ya siku zangu zilizobaki.
Sishawishi watu waniige, ila mimi nikiukwaa siwapi nafasi virusi wanitese kwa ujumla.
Aisee ngoma ni Kwere mazee!Mmmh! We omba tu usiupate, unafikiri kujimaliza ni rahisi?
Hata wanaojiua wanakuwa wamelogwa[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app