Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Kuna watu ukiambiw ahuyu ni mgonjwa utakataa hata kw angumi hutakubali.....ukianz akukohoa, kukata weight, kunyonyoka nywele kama ile picha iliyowekwa juzi hapa jukwaani, ukianza kuota mapele na madonda yasiyooisha....ukurutu na upele, TB aaghh acheni jamani hii kitu ni hatari sana sana.
 
Twafaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani mmoja wetu awe tayari kutoa ushuhuda hapa, mwaka juzi alikuja Dada mmjoa hapa jukwaani akaanzisha thread kuwa UKIMWI bila pesa ni Mateso. Tulimchangia aisee maana ile thread laima ikutoe machozi but funny enough as we speak now wapo wenzetu ambao wanaambukizwa, wapo ambao wanakata roho, wapo ambao ndio wanatoka kuchukua majibu yao, wapo ambao wanashangilia majibu yako safi, wapo ambao majibu ni hovyo, just as we speak.
 
Watu wengi hawajali afya zao kwa sababu hawajui status zao, na suala la kupima limekuwa mtihani mkubwa sana. Ukipima then ukajiona uko safe, halafu ukakumbuka dhambi za kugegeda ulizofanya, ukakumbuka mazingira uliyowahi kujihatarisha kwa sababu ya kumuendekeza Abdala Kichwa Wazi, hakika huwezi kurudia kuuza mechi kizembe.

Kama unajali, anza kupima kwanza, then baada ya hapo utakuwa makini na kamwe hutakubali kumuamini mtu kirahisirahisi! Aids is real!
 
Amna mtu anataka kunyooshewa vidole aisee! Kwa zama hizi za insta ukawilii kugombana namtu akakupost unachukua minjingu! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Fact
 
cc: witnessj Hawachi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…