Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ilikua terehe za ishirini na kidogo mwezi wa March mwaka 2017, nadhani ilikua Jumatano, nikiwa Mkoani Tabora! Nikaenda kupima dah, nilikauka koo kabisa kabisa, maji hayapiti, halafu Dr alikua Kijana mdogo tu, kanipima kaacha kipimo mezani na mimi niko kwenye kiti, nilitamani nikichukue nikimbie.....sitakaa nisahau, sitakaa nisahau. Ni siku ambayo nilikonda kwa dakika kumi nikapoteza kilo kama sita, nakumbuka nilikua na 84kg kuja kupima nikajikuta nina 78kg, Dah kuzirudisha hizo sasa ilinichukua miezi....umbea wa kutaka kuoima huu!! Nawashauri mkapime, usimpime mtu kwa macho
 
Dahh hiyo migegedo ya kinga migumu sana unaweza mgegeda mdada akili inakutuma kutoa kinga ukimaliza sasa mawazo ndo yanaanza kama umeambiwa umempa mwanafunzi mimba
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha jombaa ale head za wadangaji! Maana wao wakilipiwa misosi mahotelini na kubebwa kwenye ma VX wanaona wamemaliza maisha. Jamaa anawanawa tu nae dah. Hatari faya! Sema kama jamaa anakula minjingu naskiaga inakuwa iko mzuka yani. Haambukizi tena!
 
Acha jombaa ale head za wadangaji! Maana wao wakilipiwa misosi mahotelini na kubebwa kwenye ma VX wanaona wamemaliza maisha. Jamaa anawanawa tu nae dah. Hatari faya! Sema kama jamaa anakula minjingu naskiaga inakuwa iko mzuka yani. Haambukizi tena!
Extrovert unafurahisha na kiswahili chako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nakumbuka nilipo enda kupima kwenye kusubiri majibu nilienda msalani kama mara tatu kwa nusu saa nikawa najiuliza namna hii sijapewa majibu nikipewa wallah nakufa kwa presha 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Asikudanganye mtu kondomu haisadii chochote bhana, inasaidia kwa Makahaba tu, wale ndio wanatumia kondomu kila siku lakini sisi wengine....ukimaliza unasali na kutubu!!!
 
Hio hakunaga, unapewa majibu cold heartedly. Last time checking ilikuwa hospitali flani ya serikali. Dokta aliposema hongera niko safi ila nichukue tahadhari zaidi hakukuwa na story zaidi nikatembea na Yesu!

Breki ya kwanza ilikuwa grocery ya jirani kuchamba koo kwanza!
 
Duuuh...maskini alihisi we ndo umepata uhakika kabisa, kwahiyo utaenda simulia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…