Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani nimekataa mkuu "Kipepe"?Ni maoni tu comrade
We mnyalu , umetoka kunywa ugimbi?ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
Naona umevimbiwa maziwa ya asas jamba kwanza utoe gesi hiyo ndiyo urudi tenaASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
labda ahamie CHADEMAASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
Unaona jinsi upumbavu wako ulivyo, mtu ana vi elements vya ufisadi nawe unataka aende bungeni, maana umesikia bunge ndio coffee club ya mafisadiKwahyo ww unashida na utajir wa mtu kwann naww usiende ukawinde uwe tajr
Umetawaliwa na mawazo ya kimasikini kama waliyo nayo watu wa Morogoro mjini, Singida mjini wakati wa MO nk kwamba amayetoa misaada kwa ukwasi wake ndio anastahili ubunge badala ya kuja na mawazo endelevu.ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
kwani tusipompa ubunge, atasitisha kutupatia hiyo misaada???ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
Kisa umepewa mtindi wa bure ukavimbiwa,sasa unataka awe mbunge wako!,mwambie kama ana uchungu wa maendeleo ya iringa, asaidie kuijenga ile barabara ya ipogolo hadi kidabaga,kile kijiji cha kwanza kabisa, Tagamenda umasikini wa pale unatisha, au wewe upo kwenye AC iringa mjini hujui kinachoendelea pale Tagamenda?Kwahyo ww unashida na utajir wa mtu kwann naww usiende ukawinde uwe tajr
Kwanini na ww usiwe fisadi acha wivu fanya kazi...syo unabaki kupakazia watu majina ya ufisadi kwani ww kuwa fisadi umekatazwa kiazi we!Unaona jinsi upumbavu wako ulivyo, mtu ana vi elements vya ufisadi nawe unataka aende bungeni, maana umesikia bunge ndio coffee club ya mafisadi
Ni makomredi hao.Huyo kipepe ni ww au
Hivi tunachagua MCHUNGI au MTUNGA SHERIA? unatuona tuna kiu ya maziwa eeh! "WE Niangusage tu! Sambi nsako peke yako"ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
Hivi ni tagamenda, au witagaimienda?yaani unatupa nguo?Kisa umepewa mtindi wa bure ukavimbiwa,sasa unataka awe mbunge wako!,mwambie kama ana uchungu wa maendeleo ya iringa, asaidie kuijenga ile barabara ya ipogolo hadi kidabaga,kile kijiji cha kwanza kabisa, Tagamenda umasikini wa pale unatisha, au wewe upo kwenye AC iringa mjini hujui kinachoendelea pale Tagamenda?
Hao wenye akili wameathriwa na UMASIKINI kwahyo kuwa na mbunge ambae Ni msaada kwa jamii hii italeta afya zaidi ya maendeleoUmetawaliwa na mawazo ya kimasikini kama waliyo nayo watu wa Morogoro mjini, Singida mjini wakati wa MO nk kwamba amayetoa misaada kwa ukwasi wake ndio anastahili ubunge badala ya kuja na mawazo endelevu.
Wenye akili wanahitaji mawazo endelevu sio msaada wa maziwa na sukari