Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
We mnyalu , umetoka kunywa ugimbi?
ASAS ni kampuni, utaipaje kampuni unbunge?
 
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
Naona umevimbiwa maziwa ya asas jamba kwanza utoe gesi hiyo ndiyo urudi tena
 
Wana Iringa please sana...
Jifunzeni kwetu sisi wana Morogoro tunapumulia gesi ya Carbondioxide, me najiuzaga Bungeni anaendaga kufanya nn maana sijawahi msikia akitoa hoja za maana zaidi alikuwa analia lia stand ya mjini kati kupelekwa Mafiga kuleee....
 
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
labda ahamie CHADEMA
 
Kwahyo ww unashida na utajir wa mtu kwann naww usiende ukawinde uwe tajr
Unaona jinsi upumbavu wako ulivyo, mtu ana vi elements vya ufisadi nawe unataka aende bungeni, maana umesikia bunge ndio coffee club ya mafisadi
 
Umetawaliwa na mawazo ya kimasikini kama waliyo nayo watu wa Morogoro mjini, Singida mjini wakati wa MO nk kwamba amayetoa misaada kwa ukwasi wake ndio anastahili ubunge badala ya kuja na mawazo endelevu.
Wenye akili wanahitaji mawazo endelevu sio msaada wa maziwa na sukari
 
kwani tusipompa ubunge, atasitisha kutupatia hiyo misaada???
 
Kwahyo ww unashida na utajir wa mtu kwann naww usiende ukawinde uwe tajr
Kisa umepewa mtindi wa bure ukavimbiwa,sasa unataka awe mbunge wako!,mwambie kama ana uchungu wa maendeleo ya iringa, asaidie kuijenga ile barabara ya ipogolo hadi kidabaga,kile kijiji cha kwanza kabisa, Tagamenda umasikini wa pale unatisha, au wewe upo kwenye AC iringa mjini hujui kinachoendelea pale Tagamenda?
 
Unaona jinsi upumbavu wako ulivyo, mtu ana vi elements vya ufisadi nawe unataka aende bungeni, maana umesikia bunge ndio coffee club ya mafisadi
Kwanini na ww usiwe fisadi acha wivu fanya kazi...syo unabaki kupakazia watu majina ya ufisadi kwani ww kuwa fisadi umekatazwa kiazi we!
 
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
Hivi tunachagua MCHUNGI au MTUNGA SHERIA? unatuona tuna kiu ya maziwa eeh! "WE Niangusage tu! Sambi nsako peke yako"
 
Kisa umepewa mtindi wa bure ukavimbiwa,sasa unataka awe mbunge wako!,mwambie kama ana uchungu wa maendeleo ya iringa, asaidie kuijenga ile barabara ya ipogolo hadi kidabaga,kile kijiji cha kwanza kabisa, Tagamenda umasikini wa pale unatisha, au wewe upo kwenye AC iringa mjini hujui kinachoendelea pale Tagamenda?
Hivi ni tagamenda, au witagaimienda?yaani unatupa nguo?
 
Umetawaliwa na mawazo ya kimasikini kama waliyo nayo watu wa Morogoro mjini, Singida mjini wakati wa MO nk kwamba amayetoa misaada kwa ukwasi wake ndio anastahili ubunge badala ya kuja na mawazo endelevu.
Wenye akili wanahitaji mawazo endelevu sio msaada wa maziwa na sukari
Hao wenye akili wameathriwa na UMASIKINI kwahyo kuwa na mbunge ambae Ni msaada kwa jamii hii italeta afya zaidi ya maendeleo
 
Back
Top Bottom