Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mbwela, Abood kafanya lipi la maana Morogoro? Yumo mle kulinda maslahi yake tu!Kwani hujui bungeni wanafanya nn Ni chuki tu inakutesa
Kwani Sasa kama chama hakini ofs na kinapata hela huoni Kama ni corruptive hcho kwahyo viongozi wapige tu....hebu waulize walijenga madarasa mangapi hata moja Hakuna kwa miaka 10Haya mambo ya ofisi za Chama hayana maslahi ya nchi zadi ya siasa .
Tunahitaji watu kama Msigwa wa kubadili mindset za waafrika maana tumelogwa na Hawa wezi kutoka nje. Watu waliowauza Babu zetu wakatajirika Leo tunawaona ni watu wema . Kwa Taarifa yako Hawa wageni wanatajirika kutokana na Corrupt system tulizonazo kwenye nchi yetu.
Mwarabu na mhindi anajua kucheza na akili za mwafrika . Watanzania wananyanyasika sana kwenye nchi hii . Nenda vituo vya Polisi uone jinsi wageni wanavyonyenyekewa kutokana na pesa zao,nenda mahakamani ,nenda TRA uone wanavokwepa Kodi Kwa kutoa rushwa. Hata wafanyabiashara wanaolalamika sio Wahindi Wala Waarabu ni wale waafrika Wenzetu. Kuna Wahindi wameajiri wataalam wa IT kazi yao ni kuhack mitandao ya fedha na kukwepa Kodi na kuibia nchi na wanajulikana halafu watu wanabaki kukimbizana na Wamachinga Kariakoo. Acheni kutetea Hawa watu Hawa ni adui wa maendeleo ya mwafrika milele. Ingekua wao ndio wanajenga Barabara basi akina Bahressa wangejenga flyovers pale TAZARA kabla ya JPM kujenga. Pumbavu sana Wahuni .!
Mzungu , Mwarabu ,mhindi na wanasiasa wahuni lao Moja . Hawa ni watu wanaoweza kushirikiana kuhujumu nchi na wakapigiwa makofi makofi badala ya kupigwa makofi kutokana na misaada wanayotoa . Wazungu wao walishakwenda mbele zaidi wanahujumu Kwa misaada mikubwa ya kitaifa na kimataifa kudumaza kabisa Waafrika na bara la Afrika kupitia watawala Moja Kwa Moja bila kujali SHERIA za ndani wao wanafuata SHERIA zao wanazoziita za kimataifa.
Kama mabilionea waliopo Tanzania wangelipa Kodi kama wafanyabiashara wadogo wanavyolipa basi nchi hii ingetoa misaada na Mikopo kwenye nchi nyingine kama Burundi n.k. Cha ajabu Hawa ndio wakwepa Kodi na wanatoa rushwa chap. Mtu aliyekwepa Kodi ya bilion Kumi kutoa million mia Tano au kutoa maziwa na kuwapa watoto wa Wakinga na wahehe na wabena wanaodanganywa kuwa ni maskini kwenye ardhi yao yenye rutuba inayoporwa na wafugaji na WAKULIMA wa kigeni lakini Wenyeji wakifukuzwa na kuambiwa mifugo yao Haina thamani kama Mbweha na nyoka wa porini wakati vyote ni hayawani wa porini TU.
Si sawa na kuwa na wabunge wanaokaa miaka 10 hakuna legacy yyte waliyoifanya..wamekuta Jimbo lipo vilevile wameliacha lipo vilevile Sasa hao wa nn.... Iringa mjn sahz imeanza kupendeza hapo nyuma ulikuwa worse.Siyo lazima mtu awe mbunge au kwenye siasa ili kuitumikia jamii.
Chuki na wivu vinakutesa...na ndo tabia ya ss watanzania hatutakagi kuona mtu anamafanikio tunaweza kuumwa na kuumwa kabisa kisa wivu... you're stupidKwa hiyo kwa Tanzania mtu yeyote akigawa maziwa yaliyo expire kwa shule mbili tatu anapewa ubunge.
Si lazima awe asas Ila mtu yoyte mwenye maono Kama asas, mtu mwenye focus ya maendeleo, mtu anaye weza kufanya Jambo fulani likaacha alama katika Jimbo la IRINGA mjn ...miaka 10 hakuna kitu kilichofanyika lakini bado unamtaja msigwa😄😄 ww utakuwa syo wa Iringa Ila uchadema unakutesa..nyie chadema mmetuharibia Sana Iringa hakuna mlichokifanyaMimi Msigwa simfagilii kama Msigwa ila Nasema Kwa Nini keki ya Taifa tuwape walioshiba wakati ndugu zetu wa kitanzania bila kujali vyama wanaweza wakatuwakilisha Bungeni na kutunga SHERIA Bora. Ndio maana hata suala la Ushoga tunaogopa kupambana nalo mana tuna watu wengi wasio waafrika wanaotulisha tunaogopa kuwakwaza.
Hata hivyo Bado Kama maana ya Ubunge ni kuwawakilisha Wananchi katika Bunge la kutunga SHERIA basi Msigwa aliwakilisha vizuri na hajatuibia .
Ni lazima tuwe na Uchungu na nchi yetu pamoja na kwamba siku hizi kutetea Rasilimali za nchi ni KUONEKANA kuwa ni roho mbaya. Lakini Tumeona wazawa wanavyolalamika kuhujumiwa kwenye Biashara Kariakoo. Mbunge wao ni Mgeni na ni Naibu Spika . Amewatungia wafanyabiashara wenzake SHERIA mbovu kwa sababu Hana Uchungu nao zaidi ya maslahi yake .
Hivi nyie Bado hamjifunzi kitu Kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo na wawakilishi tunaowatuma Bungeni. Hivi unategemea Mgeni anauchungu na mzawa. ?
Bila shaka wewe ni mnufaika wa Asas lakini Mimi siwafagilii kamwe wageni nje ya Bara la Afrika awe ni MZUNGU ,MWARABU ,MCHINA,MHINDI .Hawa watu kaamwe hawajawahi kuwapenda Waafrika Mbele ya maslahi yao. Na tusipikua makini wajukuu zetu watakua watumwa kwenye nchi hii na bara Hili miaka 50 ijayo kutokana na Kutawaliwa na kizazi kinachoamini katika misaada ya Kaniki na Bunduki.
"Sinking man scratches a serpent"
Mnamatatizo nyie chadema....mmejaa chuki Sana, mmepata madaraka hakuna mlichokifanya, huoni ruzuku kidogo mnakodi chopa wakati hata ofs hamna hzo ni siasa za kitapeli...na iringa mjn ilikuwa hvohvo mtu anajisifia kujaza watu kwenye mikutano badala ya aonyeshe alichokifanya 🚮🚮Umeshiba mtindi ni kutujambia tu humu jf
Sasa si Bora huyo amepigania hata stend imeisha ..huyo mwenzenu alifanya nn🤣 mwambie awaonyeshe hata ofs moja ya kjj aliyo Jenga kwa miaka 10 yote...mwambie awaonyeshe hata kituo Cha afya kimoja alichojenga au hamasisha watu wachange wajenge kwa miaka 10... Hakuna kituWewe mbwela, Abood kafanya lipi la maana Morogoro? Yumo mle kulinda maslahi yake tu!
No Dewji alikuwa mbunge Singida na hata siku moja hakuwahi kutoa kauli ya maana badala yake alitumia ubunge wake kupata title deeds za mashamba ya katani na kuzitumia kama collaterals kwenda kukopa kwenye mabenki nchi za nje!
Matajiri wote aidha ni wafanasiasa Kwa namna Moja au nyingine..Watu wengine buana!
Huo ubunge umsaidie nini nje ya biashara na utajiri wake?
Jifunzeni ya Morogoro mjini na Mbunge wake tajiri anavyo nunua viwanja vyote mjini kwa shari na halali.
Kodi zetu ndio kazi yake hiyo kujenga hiyo miundombinu lakini zinalipa na wajanja na Samia anawaangalia tu !Sasa si Bora huyo amepigania hata stend imeisha ..huyo mwenzenu alifanya nn🤣 mwambie awaonyeshe hata ofs moja ya kjj aliyo Jenga kwa miaka 10 yote...mwambie awaonyeshe hata kituo Cha afya kimoja alichojenga au hamasisha watu wachange wajenge kwa miaka 10... Hakuna kitu
Mbunge wa ccm maskini labda ukamtafute Kwa tochi au wale ambao Jiwe aliwalazimisha ila kama huna pesa huwezi kuwa mbunge Kwa ccm ukatoboa.Salim ameshavuka Viwango vya Ubunge
Hana Njaa hiyo
Wana pesa za kumshinda Asas? Mbona Mo alikuwa mbunge wa Singida baadae akaamua tuu kuacha?Ujinga mtupu. Atawafanya Wahehe wawe kama wale wajinga wa Morogoro. Kwani hakuna wazawa wanaoweza kuwa wabunge?
Asas ni jina la mtu so kampuni ndio inatumia jina la mtu just for your info.We mnyalu , umetoka kunywa ugimbi?
ASAS ni kampuni, utaipaje kampuni unbunge?
Shinyanga ile imejaa Waarabu ndio wabungeIgunga Rostam
Morogoro Abood
Mvomero ...
Gairo Shaby
Singida ...
Hela za Sabodo mlifanyia nn? Hela za join mlifanyia nn....hebu oneni Jimbo la njombe mjn stend mpya haina hata miaka mi5 lakini ishazungukwa na makazi kibao kwasabu ya sera nzuri ya mbunge wa ccm...yy focus ni kuifanya njombe iwe manispaa nyny mmebaki mnazungusha mikono tu 😄Kodi zetu ndio kazi yake hiyo kujenga hiyo miundombinu lakini zinalipa na wajanja na Samia anawaangalia tu !