Ndugu zangu wakristo, mke mmoja anatosha?

Ambatanisha na 2Timotheo 3:2 Mtu anayetaka kuwa mchungaji/Askofu anapaswa kuwa mume wa mke mmoja.

Kwa maana hiyo wakati huo wa Paulo kulikuwa na wakristo wenye wake zaidi ya mmoja ila ili awe mchungaji alipaswa kuwa mume wa mke mmoja
 
Aaah! Sasa ukiwa na mwanamke wako mmoja unaepiga mwenyewe si bora kuliko kuhangaika na wengine wasiotulia
Maziwa ya ng'ombe uliyemfuga yanakinaisha.

Mwanaume anaweza kuwa anapiga kimoja kwa mkwewe na haisimami tena hata kwa busta ila akichepuka tu anapiga nne za kuunganisha chuma imekolea moto hakuna kupoa. Lakini akiwa mtu wa kusafiri mbali na mke basi siku akirudi anapiga hata vinne kwa show moja.

Kulala na mke 24/7 kwa mwezi na mwaka kunapunguza hamu na kuanza kuishi kama kaka na dada
 
Tuseme tu Kwa uwazi
Tusifiche
Mke mke anatosha au kuwa na mpango kando laZima
Mimi ni Mkristo, nasema kweli kabisa mke mmoja hatoshi, tunafanya unafiki tu halafu tunaishia kuwa na michepuko, bora uwe na wake wawili au zaidi kama hali ya uchumi unaruhusu kuliko kuishi kutenda dhambi kwa kuwa na michepuko.Kwa wale ambao wanatosheka na mmoja sawa maana watu tumeumbwa tofauti lakini kwa sisi wengine mmoja hatoshi kabisa, na hata kwenye Biblia sijaona andiko linalokataza kuoa mke zaidi ya mmoja sana sana kwa maaskofu ndiyo imesisitizwa kuwa awe mume wa mke mmoja lakini kwa sisi wengine tunaonewa tu.
 
Well said.
 
Umeongea ukweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…