The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,773
- 1,660
Dogo acha dharau zako Kagera umeme upo tangu zamani hadi vijijiniutalii tu! Sema UTALII Kwa herufu kubwaa. Utalii ndo umewasaidia kagera kupata umeme wa REA tunasubiri watalii waongezeke tukipata foreign currency wazaliwa wa kilimanjaro tutashauri kagera wajengewe stand na vyoo.
Kilimanjaro labda kujifunza ulevi, kule sasa hivi ukiwa kijana timamu huwezi kutafutia maisha kilimanjaroHakuna jambo lolote mhaya anaweza kwenda kujifunza Kilimanjaro, njoo na ushaidi dhabiti ni jambo lipi watu wa Kagera watajifunza Kilimanjaro ambalo Kagera halipo?
Hii kitu ni kweli na inasikitisha sana. Kagera ilikuwa imestawi miaka hiyo kwa sababu ya kilimo cha kahawa,ufugaji,ndizi uvuvi na biashara za mipakani nyingi zikiwa za bidhaa za magendo hasa kutoka Uganda. Ni katika kipindi hiki kulikuwa na boom kwelikweli ndo wazee wetu wa kipindi cha nyuma wakasomesha vijana wao tunaowasikia leo wakitamba vyuoni,mahakamani,maparokiani nk. Kipindi kilidumu mpaka miaka ya mwishoni wa 90's.Hatuipondi tunasema hali halisi ili ibadilike. Ikibadilika ndinyo nzuri kwetu. Hili sio dongo bali ukweli na nimesikia wenyewe Prof Tibaijuka akisema hili
Wewe ndo umesema ukweli.Nimesoma kilimanjaro advance, hawa jamaa mnawazidi utalii tu, ila kimaisha wanawakaribia sana kuanzia hali ya hewa, mandhari, tena makazi wapo vizuri haswa, mm niliishia kamachumu, yaan nyumba nilizokuta kule hadi nilishangaa maana sikutarajia kabisa, kuhusu kilimo hicho hawajuhi sana wao ni zero grazing hawani muda wa kulima mashamba eti, yaani mgomba humo humo, papai, magimbi, mahindi, mihogo humo humo[emoji119]
Hawa jamaa maendeleo wanayo, sielewagi kw nn mnawananga hivi[emoji23][emoji23], mm niliendaga mwaka jana kwkwl maeneo niliyotembelea walikuwa vizuri hasa makazi wamejitahid kama mnawazidi labda stendi, hadi nilimuuliza jamaa tulienda naye, inakuwaje wanakuwa wa mwisho
Jamaa wakati umeme wa tanesco unakata, wao hawana habari, niliambiwa wanatumia wa Uganda Owen fall [emoji23][emoji23], kila bidhaa tukinunua ni made in Uganda, hapa ndo nikasema kwl inawezekana Serikali iliwatenga hawa jamaa [emoji23]
Watu wote wenye tabia za kutambia wenzao Huwa wanapenda sana sifa !!Sijui nani aliwaloga yaani wanapenda sifa sn
Nature yaoWatu wote wenye tabia za kutambia wenzao Huwa wanapenda sana sifa !!
Mkoa wa Kagera Ardhi yenu bado ni nzuri sana tena sana mnatuzidi mbali sana ! Mkoa wetu sisi tulishafyeka sana miti sasa hivi umebaki kama semi desert !!Taja mkoa wako kwanza tujue unaizidi nini Kagera
Zipo sana pitia nyuzi mbalimbali hapa jfTusitafute wachawi badala yake tutafute sababu za msingi na suluhu. Kanda ziko mbali hivi hakuna sababu ya msingi ya kulinganisha kwa kujitamba. Tusiwe wepesi kutumia neno "vita" hakuna vita yeyote na tuwe makini kutunga vita ambazo hazipo
Hasahasa wachaggaWatu wote wenye tabia za kutambia wenzao Huwa wanapenda sana sifa !!
tatizo la mkoa huu,kwanza unafiki pili ukabila.watu wa mkoa huu hawataki kuchangamana na makabila mengine.mikoa ambayo watu wamechangamana na makabila mengine maendeleo huja kwa kasi.mkoa wa kagera kwa mgeni kumiliki ardhi ni ngumu sana hata tu kijieneo cha kujenga utapata kwa shida sana na ukikipata pia risk ya kutapeliwa ni kubwa mno.kagera wenyeji hawaaminki si mwanamme wa mwanamke.ukizubaa tu umetapeliwa.hivyo inakuwa vigumu sana kwa mgeni (mnyamahanga) kuwekeza ktk mkoa huo.Inasikitisha kujua hili la kwamba Kagera ni mkoa masikini kuliko yote Tanzania.
1. Ina wasomi wengi sana
2. Ardhi nzuri
3. Ziwa kubwa
4. Mipaka ya nchi yetu mingi
Pamoja ya yote hayo ni swali ya kujiuliza wenyewe watu wa huko bila kuweka lawama kwa serikali. Ukiangalia vizuri Kagera na Kilimanjaro zinafanana sana lakini ki maendeleo ni paka na panya. Acheni kulaumu na kusubiri serikali na jiulizeni tatizo hasa kwenye jamii yenu ni nini?
1. Je, usomi hasa wa juu kwa watu wengi wa huko umesaidia ? Au umeongeza majigambo yasio ya msingi na kupunguza fursa
2. Tabia ya kulalamika kama vile Chato ndiyo sababu ya umasikini wenu. Je hii tabia inasaidia nini hasa? Kabla ya Magufuli bado mlikuwa masikini sana
3. Je, mnaheshimu au kudharau vijiji vyenu na mkoa wenu?
Maswali magumu mikoa 10 maskini zaidi Tanzania - Nukta Habari
Rukwa ndiyo unaoongoza kwa kuwa na takriban nusu au asilimia 45 ya watu wake ambao hawawezi kumudu mahitaji ya msingi wakati Dar es Salaam ukiwa na watu wachache wasiokuwa na uwezo huo kwa asilimia nane tu.nukta.co.tz
Usibadili channel, KAGERA NI MASIKINI NA INATIA AIBU SANA.Uzi huu umeandikwa kwa hasira na chuki sijui kwanini??
Cha ajabu wazee wetu hawajawahi kuzungumzia mambo ya hovyo km haya, lakini ni vitoto vidogo vinazungumzia utafikiri sifa.Hivi vita vya ukanda,nyanda hii vs nyanda nyingine au kabila hili dhidi ya lile vinavyoendelea humu ndani sijawahi kuvielewa.
Hiki ni kipindi ambacho tulitakiwa tuwe tumeshaondokana na ukabila na ukanda.
Hili jambo linashangaza lakini! Nchi ni ile ile wote tunataka iendelee ila mtu anataka kwao kuendelee na kwingine asipopapenda paendelee kuwa duni!
Makabila , ukanda na udini ni upumbavu mtupu unaosababisha Africa isitulie hadi leo.
Wanangu hawatakuwa na kabila lolote.Lugha watakazofahamu kwa hapa nyumbani ni Kiswahili na Kiingereza pekee.

Maskini katika lipi wewe dogo acha dharau, ungetaja kwenu kwanza ili tukuchambue6Usibadili channel, KAGERA NI MASIKINI NA INATIA AIBU SANA.
Haya yote wanayaleta watu wa kilimanjaro baada ya kuona kwao panadumaa. Hapa lengo la mleta mada sio kuisema Kagera ila anataka kujua nini kinaebdele Kagera kimaendeleo ili alinganishe na kwao. Kagera ukiacha uchakavu wa miundombinu bukoba mjini mkoa wa Kagera hauna huo umaskini wanaosema wanywa mbegeCha ajabu wazee wetu hawajawahi kuzungumzia mambo ya hovyo km haya, lakini ni vitoto vidogo vinazungumzia utafikiri sifa.