Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safari hii hakuna mchezo kabisa, hata mawe tutawarushia polisi,chochote lilichopo mbele yakoWaache watuletee ushenzi wao tumeichoka ccm
Wa tz wapenda haki tumeamua saiz 2020 kura yangu niliwapa 2015 wameboronga wamemfukuza mzazi kazi hana nimesoma nimehitimu ajira sina hali ya maisha mbovu saasaa saasaa siku yenu ya kumwaga hasira yangu ni 28Hawa mataga ni bure kabisa, wengi ni wachumia tumbo, wazee wetu walipopigania uhuru walikua tayari kufa pasipo kujali, sasa vijana wa kile.wanatia mashaka sana,
Sasaaa, sasaaa wakithubutu kuvuruga uchaguzi huu, watakwenda kwenye mahakama ya uhalifu ya kimataifa...wanavyoona lisu anazungumza wanajua anatania, kumbe Lissu anazungumza sauti za wwananchi wengi ambao ndo sisiWa tz wapenda haki tumeamua saiz 2020 kura yangu niliwapa 2015 wameboronga wamemfukuza mzazi kazi hana nimesoma nimehitimu ajira sina hali ya maisha mbovu saasaa saasaa siku yenu ya kumwaga hasira yangu ni 28
Hawakujipanga,Upepo wa lisu ccm hamku zania utakua hivi kwa taalifa yenu watu wanaugulia ndani ya mioyo yao wana subiri tarehe tu
Tutapigana na mwizi wa kura zetu haijawahi tokeaTundu Lissu kasema kuibiwa ni uzembe! Kuilinda haki yako mikononi mwa wenye nguvu haijawahi kuwa kitu rahisi lazima kujitoa sadaka.
Vyovyote watakavyokuja watakao zulum sauti za wengi kisa MTU mmojaSasaaa, sasaaa wakithubutu kuvuruga uchaguzi huu, watakwenda kwenye mahakama ya uhalifu ya kimataifa...wanavyoona lisu anazungumza wanajua anatania, kumbe Lissu anazungumza sauti za wwananchi wengi ambao ndo sisi
Tumeamua, kwa heri ama kwa shari
Nina washkaji zangu, kwa kifupi tuna ushkaji wa kisiasa, mwezi huu mzima tulijichimbia mahali kujinoa namna ya kujilinda na hawa polisi siku ya kulinda kura, mkuu nakwambia vijana wamechoka mtaani na wamejiandaa kufa kupona. Ccm wasichukulie mzaha hili jambo, kitakachotokea hawataaminiVyovyote watakavyokuja watakao zulum sauti za wengi kisa MTU mmoja
28/10 lolote na liwe tumechokaNina washkaji zangu, kwa kifupi tuna ushkaji wa kisiasa, mwezi huu mzima tulijichimbia mahali kujinoa namna ya kujilinda na hawa polisi siku ya kulinda kura, mkuu nakwambia vijana wamechoka mtaani na wamejiandaa kufa kupona. Ccm wasichukulie mzaha hili jambo, kitakachotokea hawataamini
Mkuu mimi nimeshaaga kabisa, tusiposimama uchaguzi huu basi hatutakaa tuishinde ccm tena, lazima tupigane kufa kupona, halafu mataga wenyewe na policcm yao unadhani wana nguvu basi, tunaweza kuwatembezea kichapo mpaka wakakimbia vituo vya kuraMimi nawaambia sio keyboard warrior! Ikibidi sijui nitume na kitambusho changu cha kura mataga wanijue mapema!maana wanafikiri tunaongea humu tu vitendo hatuna, round hii sijajua, maana wanamsemo wao wanasema hawa ni keyboards warriors!! Mungu nipe uhai.
Tatizo la waafrika linaendelea kutokea hapo, yaani msimamizi wa sheria ndiye wa kwanza kuvunja sheria alafu anambambikia kesi raia asiyevunja sheria.Wanionyeshe sheria inayosema, piga kura alafu urudi nyumbani
Kweli kabisa. Mwaka sahihi wa kuitoa Ccm madarakani ni mwaka huu tu ambapo Mungu katuletea mtu sahihi na kuna uwezekano wa asilimia 100 kuungwa mkono na makundi yote yaliyonyanyaswa na Ccm kuanzia wafanyabiashara, wafanyakazi na wakulima.Mkuu mimi nimeshaaga kabisa, tusiposimama uchaguzi huu basi hatutakaa tuishinde ccm tena, lazima tupigane kufa kupona, halafu mataga wenyewe na policcm yao unadhani wana nguvu basi, tunaweza kuwatembezea kichapo mpaka wakakimbia vituo vya kura
Mkuu hata wana ccm wenyewe watatuunga mkono kumuondoa huyu uchwara maana waoe wenyewe wamenyanyasika kwa namna moja ua nyingineKweli kabisa. Mwaka sahihi wa kuitoa Ccm madarakani ni mwaka huu tu ambapo Mungu katuletea mtu sahihi na kuna uwezekano wa asilimia 100 kuungwa mkono na makundi yote yaliyonyanyaswa na Ccm kuanzia wafanyabiashara, wafanyakazi na wakulima.