Uchaguzi 2020 NEC: Hatutaruhusu mtu kukaa mita 100 kusubiri matokeo ya uchaguzi

Hawa mataga ni bure kabisa, wengi ni wachumia tumbo, wazee wetu walipopigania uhuru walikua tayari kufa pasipo kujali, sasa vijana wa kile.wanatia mashaka sana,
Wa tz wapenda haki tumeamua saiz 2020 kura yangu niliwapa 2015 wameboronga wamemfukuza mzazi kazi hana nimesoma nimehitimu ajira sina hali ya maisha mbovu saasaa saasaa siku yenu ya kumwaga hasira yangu ni 28
 
Tundu Lissu kasema kuibiwa ni uzembe! Kuilinda haki yako mikononi mwa wenye nguvu haijawahi kuwa kitu rahisi lazima kujitoa sadaka.
 
Wa tz wapenda haki tumeamua saiz 2020 kura yangu niliwapa 2015 wameboronga wamemfukuza mzazi kazi hana nimesoma nimehitimu ajira sina hali ya maisha mbovu saasaa saasaa siku yenu ya kumwaga hasira yangu ni 28
Sasaaa, sasaaa wakithubutu kuvuruga uchaguzi huu, watakwenda kwenye mahakama ya uhalifu ya kimataifa...wanavyoona lisu anazungumza wanajua anatania, kumbe Lissu anazungumza sauti za wwananchi wengi ambao ndo sisi

Tumeamua, kwa heri ama kwa shari
 
Vyovyote watakavyokuja watakao zulum sauti za wengi kisa MTU mmoja
 
Nina washkaji zangu, kwa kifupi tuna ushkaji wa kisiasa, mwezi huu mzima tulijichimbia mahali kujinoa namna ya kujilinda na hawa polisi siku ya kulinda kura, mkuu nakwambia vijana wamechoka mtaani na wamejiandaa kufa kupona. Ccm wasichukulie mzaha hili jambo, kitakachotokea hawataamini
 
28/10 lolote na liwe tumechoka
 
Mimi nawaambia sio keyboard warrior! Ikibidi sijui nitume na kitambusho changu cha kura mataga wanijue mapema!maana wanafikiri tunaongea humu tu vitendo hatuna, round hii sijajua, maana wanamsemo wao wanasema hawa ni keyboards warriors!! Mungu nipe uhai.
 
Mkuu mimi nimeshaaga kabisa, tusiposimama uchaguzi huu basi hatutakaa tuishinde ccm tena, lazima tupigane kufa kupona, halafu mataga wenyewe na policcm yao unadhani wana nguvu basi, tunaweza kuwatembezea kichapo mpaka wakakimbia vituo vya kura
 
Wanionyeshe sheria inayosema, piga kura alafu urudi nyumbani
Tatizo la waafrika linaendelea kutokea hapo, yaani msimamizi wa sheria ndiye wa kwanza kuvunja sheria alafu anambambikia kesi raia asiyevunja sheria.
 
Mkuu mimi nimeshaaga kabisa, tusiposimama uchaguzi huu basi hatutakaa tuishinde ccm tena, lazima tupigane kufa kupona, halafu mataga wenyewe na policcm yao unadhani wana nguvu basi, tunaweza kuwatembezea kichapo mpaka wakakimbia vituo vya kura
Kweli kabisa. Mwaka sahihi wa kuitoa Ccm madarakani ni mwaka huu tu ambapo Mungu katuletea mtu sahihi na kuna uwezekano wa asilimia 100 kuungwa mkono na makundi yote yaliyonyanyaswa na Ccm kuanzia wafanyabiashara, wafanyakazi na wakulima.
 
Mkuu hata wana ccm wenyewe watatuunga mkono kumuondoa huyu uchwara maana waoe wenyewe wamenyanyasika kwa namna moja ua nyingine
 
Back
Top Bottom