NEC igeni CCM jinsi ya kuhesabu kura. CCM mmeonyesha mfano

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,790
Reaction score
288,165
Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, ameagiza kwamba kura za maoni za Ubunge, uwakilishi na udiwani zinazoanza leo zihesabiwe hadharani kama ilivyokuwa wakati kuhesabu kura za Wagombea Urais wa Zanzibar.
 
Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, ameagiza kwamba kura za maoni za ubunge, uwakilishi na udiwani zinazoanza leo zihesabiwe hadharani kama ilivyokuwa wakati kuhesabu kura za Wagombea Urais wa Zanzibar.
Walaka wa shehe Ponda umependekeza kura za uchaguzi mkuuu zihesabiwe hadharani, wala kuzihamishia semu nyingine kwaajili ya kwenda kuhesabiwa lkn walimkamata
 
Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, ameagiza kwamba kura za maoni za Ubunge, uwakilishi na udiwani zinazoanza leo zihesabiwe hadharani kama ilivyokuwa wakati kuhesabu kura za Wagombea Urais wa Zanzibar.
Yes Mkuu.
 
Reactions: BAK

Mkuu unataka kuua bemdi nini, hivyo ni kutaka kumshauri mwizi akaungame kwa yule aliyemwibia kwa muda mrefu na hata kuwahi kumdhuru!
 
Unachotakiwa ni kuthibitisha je ni kweli zoezi linafanyika!
 
Kama anataka UWAZI kwenye kura za maoni katika kuhesabu kura sioni sababu ya yeye kuukimbia UWAZI huo huo kwenye kuhesabu kura za uchaguzi Mkuu ili tuzijue mbivu na mbichi.

Mkuu unataka kuua bemdi nini, hivyo ni kutaka kumshauri mwizi akaungame kwa yule aliyemwibia kwa muda mrefu na hata kuwahi kumdhuru!
 
Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, ameagiza kwamba kura za maoni za Ubunge, uwakilishi na udiwani zinazoanza leo zihesabiwe hadharani kama ilivyokuwa wakati kuhesabu kura za Wagombea Urais wa Zanzibar.
Kwamba yeye hajipendi au?
 
Kama anataka HAKI kwa wagombea wa maccm kwanini aminye HAKI hiyo kwa wagombea wa upinzani kwenye uchaguzi Mkuu? Au wao hawastahili HAKI ni wizi mbele kwa mbele!?

Tatizo anajuwa kwa upande wa ngazi hiyo akifanya hivyo asubuhi na mapema kwa heri
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…