NEC: Jina la Tundu Lissu liko mwisho wa karatasi ya kupiga kura kwasababu alirejesha fomu akiwa wa mwisho

Oooh jibu zuri. Wa kwanza wa kwanza na wa mwisho wa mwisho

Kwahiyo orodha iliandaliwa kadri wagombea walivyokua wanirudishe form😍👍
Orodha ilipangwa kabla na wa kwanza alipangwa JPM kinachofanyika ni usanii mtupu
 
Hata lingekuwa la kwanza hakuna kitu kingebadilika. Tundu nafasi ya kuwa Rais bado!
Mimi baada ya kuona jiwe kama Rais basi naamini mtu yoyote anaweza kuwa Rais hata wewe pamoja na utopolo wako jua unaweza kuwa Rais

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Orodha ilipangwa kabla na wa kwanza alipangwa JPM kinachofanyika ni usanii mtupu
Mimi siwezi thibitisha maneno yako kwamba orodha ilipangwa kabla ila ninachokumbuka Tundu alikua wa mwisho kurudisha form
 
Akihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza na Tundu Lissu alirejesha akiwa wa mwisho.

Ameongeza kuwa kwa ngazi za ubunge na udiwani wagombea walipangwa katika karatasi za kura kwa maelekezo ya Tume

Hata hivyo amesema hiyo si sababu ya mpiga kura kutompigia kura mgombea anayemtaka.

Katika hatua nyingine amesema tume imejipanga kikamilifu kuondoa changamoto katika mchakato huu wa uchaguzi.

Nikipata nafasi nitawawekea audio clip
mbarikiwe

Byabato
Bukoba.

Watanzania husoma kuanzia mwisho kwenda mwanzoni pale wakiwa na kiu ya jambo wanalolitaka
 
Time Haina sababu ya kutupa ufafanuzi, kuna ile sababu waliyoema mgombea akifanya kosa jina lake litaondolewa kwenye orodha, nilihoji he hizi karatasi zitachapishwa mwisho wa kampeni?

Ilipotoka karatasi husika na kuna liko mwisho nikajua wamerahisisha kuikata karatasi na wasiathiri orodha ya majina mengine, kumbukumbu ya walivyokuwa wanaitwa bado tunayo.
Hivi wagombea wote(15) wa kiti cha Urais waliweza kupata wadhamini na kukidhi vigezo vyote kiurahisi kasoro Mh Lissu pekee? Hii nchi chini ya ccm ni tatizo sana

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Akihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza na Tundu Lissu alirejesha akiwa wa mwisho.

Ameongeza kuwa kwa ngazi za ubunge na udiwani wagombea walipangwa katika karatasi za kura kwa maelekezo ya Tume

Hata hivyo amesema hiyo si sababu ya mpiga kura kutompigia kura mgombea anayemtaka.

Katika hatua nyingine amesema tume imejipanga kikamilifu kuondoa changamoto katika mchakato huu wa uchaguzi.

Nikipata nafasi nitawawekea audio clip
mbarikiwe

Byabato
Bukoba.
Mbona kwenye karatasi za wabunge na madiwani hilo hawajazingatia? Kwanini wasingetumia utaratibu moja Kama ni wa aliyerudisha fomu anakuwa juu au alfabeti
 
Akihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza na Tundu Lissu alirejesha akiwa wa mwisho.

Ameongeza kuwa kwa ngazi za ubunge na udiwani wagombea walipangwa katika karatasi za kura kwa maelekezo ya Tume

Hata hivyo amesema hiyo si sababu ya mpiga kura kutompigia kura mgombea anayemtaka.

Katika hatua nyingine amesema tume imejipanga kikamilifu kuondoa changamoto katika mchakato huu wa uchaguzi.

Nikipata nafasi nitawawekea audio clip
mbarikiwe

Byabato
Bukoba.
Logic ni kufuata alphabet acha upuuzi wako eti alirudish wa mwisho.

Kwahiyo mwanafunzi anaitwa "ADAM" kwakuwa aliandikishwa shuleni wa Mwisho jina lake linakuwa kwenye rejista la mwisho na Zuberi linakuwa la kwanza kwakuwa aliandikisjwa wa kwanza?

AKILI ZA MATAGA ni sawa na MKOJO WA POPO
 
Ukipigia chadema kura yako itaharibika
Nitaomba kupiga tena na tena, NEC wamesema unaweza kuomba kupiga kura tena na hata ukibadili mawazo.
Ikiharibika nami na haribika na kura yangu.

Kura kwa Lisu tu.
 
Kuchunguza namna Ubongo wa vijana wa Chadema unavyofanya kazi, ni kazi moja ngumu kuwahi kutokea

Unadhani wangetoa sababu ipi Ili uridhike?
Hapa hata wewe uelewa wako una utata mkubwa!
Unaonekana kuwa mwenye fikra nyembamba kuliko kuliko sindano ya mkono! Yaani wewe kwa akili zako zote unaona hiyo ilikuwa ni sababu ya kuleta mbele ya umma kwamba majina yamechapwa kufuata muda mgombea alipoleta form??

Kwani yale ya wabunge na madiwani hayakuwa hivyo?
Aliyepanga ratiba ya kupeleka form tue ni wagombea au tume???.... Ndo ninyi hata mlipokuwa shule ukifeli mtihani mzazi akienda kukuuliza nyumbani unamwabia sabubu siku ya mtihani kulikuwa na baridi!
Think beyond the box!
 
Ratiba ya upokeaji form iliwekwa na tume yenyewe.
Ratiba ya kurejesha Form iliwekwa na Tume na Lissu alipangwa saa 6 mchana lakini kwa ujuaji wake na kujifanya anajua kila kitu hakuthibitisha wadhamini wake jimboni kama walivyofanya wengine na hivyo kusababisha yeye awasilishe form zake usiku wa manane baada ya Tume kukamilisha uthibitishwaji na hivyo akawa wa mwisho kwenye orodha. Hata hivyo , hili si muhimu, la msingi ni kuwa watanzania tumeamua tutampigia kura za kimbunga Dkt Magufuli. Ungana na watanzania wengi umpe kura yako JPM
 
Akihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza na Tundu Lissu alirejesha akiwa wa mwisho.

Ameongeza kuwa kwa ngazi za ubunge na udiwani wagombea walipangwa katika karatasi za kura kwa maelekezo ya Tume

Hata hivyo amesema hiyo si sababu ya mpiga kura kutompigia kura mgombea anayemtaka.

Katika hatua nyingine amesema tume imejipanga kikamilifu kuondoa changamoto katika mchakato huu wa uchaguzi.

Nikipata nafasi nitawawekea audio clip
mbarikiwe

Byabato
Bukoba.
Hii safi sana.
 
Hapa hata wewe uelewa wako una utata mkubwa!
Unaonekana kuwa mwenye fikra nyembamba kuliko kuliko sindano ya mkono! Yaani wewe kwa akili zako zote unaona hiyo ilikuwa ni sababu ya kuleta mbele ya umma kwamba majina yamechapwa kufuata muda mgombea alipoleta form??
Kwani yale ya wabunge na madiwani hayakuwa hivyo?
Aliyepanga ratiba ya kupeleka form tue ni wagombea au tume???.... Ndo ninyi hata mlipokuwa shule ukifeli mtihani mzazi akienda kukuuliza nyumbani unamwabia sabubu siku ya mtihani kulikuwa na baridi!
Think beyond the box!
Mkuu, ficha Ujinga wako aisee,Nimeuliza, unadhani ni sababu ipi ambayo ingeridhisha Ubongo na uelewa wako wewe??

Halafu unaongea utumbo Hapa!
 
Back
Top Bottom