Orodha ilipangwa kabla na wa kwanza alipangwa JPM kinachofanyika ni usanii mtupuOooh jibu zuri. Wa kwanza wa kwanza na wa mwisho wa mwisho
Kwahiyo orodha iliandaliwa kadri wagombea walivyokua wanirudishe form😍👍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Orodha ilipangwa kabla na wa kwanza alipangwa JPM kinachofanyika ni usanii mtupuOooh jibu zuri. Wa kwanza wa kwanza na wa mwisho wa mwisho
Kwahiyo orodha iliandaliwa kadri wagombea walivyokua wanirudishe form😍👍
Kwa hiyo vyama vya upinzani walikuwa wa mwisho kote hadi kwenye udiwani kurudisha fomu?Naona kila ukirudisha frm mambo wa kuchapisha karatasi unakuadd aoutomatically,!!
Mimi baada ya kuona jiwe kama Rais basi naamini mtu yoyote anaweza kuwa Rais hata wewe pamoja na utopolo wako jua unaweza kuwa RaisHata lingekuwa la kwanza hakuna kitu kingebadilika. Tundu nafasi ya kuwa Rais bado!
Mimi siwezi thibitisha maneno yako kwamba orodha ilipangwa kabla ila ninachokumbuka Tundu alikua wa mwisho kurudisha formOrodha ilipangwa kabla na wa kwanza alipangwa JPM kinachofanyika ni usanii mtupu
Ukipigia chadema kura yako itaharibikaHahaha popote lilipo jina la Lisu na CHADEMA tutayafuata na kuwapigia kura.
Mimi siwezi thibitisha maneno yako kwamba orodha ilipangwa kabla ila ninachokumbuka Tundu alikua wa mwisho kurudisha formOrodha ilipangwa kabla na wa kwanza alipangwa JPM kinachofanyika ni usanii mtupu
Akihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza na Tundu Lissu alirejesha akiwa wa mwisho.
Ameongeza kuwa kwa ngazi za ubunge na udiwani wagombea walipangwa katika karatasi za kura kwa maelekezo ya Tume
Hata hivyo amesema hiyo si sababu ya mpiga kura kutompigia kura mgombea anayemtaka.
Katika hatua nyingine amesema tume imejipanga kikamilifu kuondoa changamoto katika mchakato huu wa uchaguzi.
Nikipata nafasi nitawawekea audio clip
mbarikiwe
Byabato
Bukoba.
Hivi wagombea wote(15) wa kiti cha Urais waliweza kupata wadhamini na kukidhi vigezo vyote kiurahisi kasoro Mh Lissu pekee? Hii nchi chini ya ccm ni tatizo sanaTime Haina sababu ya kutupa ufafanuzi, kuna ile sababu waliyoema mgombea akifanya kosa jina lake litaondolewa kwenye orodha, nilihoji he hizi karatasi zitachapishwa mwisho wa kampeni?
Ilipotoka karatasi husika na kuna liko mwisho nikajua wamerahisisha kuikata karatasi na wasiathiri orodha ya majina mengine, kumbukumbu ya walivyokuwa wanaitwa bado tunayo.
Mbona kwenye karatasi za wabunge na madiwani hilo hawajazingatia? Kwanini wasingetumia utaratibu moja Kama ni wa aliyerudisha fomu anakuwa juu au alfabetiAkihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza na Tundu Lissu alirejesha akiwa wa mwisho.
Ameongeza kuwa kwa ngazi za ubunge na udiwani wagombea walipangwa katika karatasi za kura kwa maelekezo ya Tume
Hata hivyo amesema hiyo si sababu ya mpiga kura kutompigia kura mgombea anayemtaka.
Katika hatua nyingine amesema tume imejipanga kikamilifu kuondoa changamoto katika mchakato huu wa uchaguzi.
Nikipata nafasi nitawawekea audio clip
mbarikiwe
Byabato
Bukoba.
Logic ni kufuata alphabet acha upuuzi wako eti alirudish wa mwisho.Akihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza na Tundu Lissu alirejesha akiwa wa mwisho.
Ameongeza kuwa kwa ngazi za ubunge na udiwani wagombea walipangwa katika karatasi za kura kwa maelekezo ya Tume
Hata hivyo amesema hiyo si sababu ya mpiga kura kutompigia kura mgombea anayemtaka.
Katika hatua nyingine amesema tume imejipanga kikamilifu kuondoa changamoto katika mchakato huu wa uchaguzi.
Nikipata nafasi nitawawekea audio clip
mbarikiwe
Byabato
Bukoba.
Nitaomba kupiga tena na tena, NEC wamesema unaweza kuomba kupiga kura tena na hata ukibadili mawazo.Ukipigia chadema kura yako itaharibika
Hapa hata wewe uelewa wako una utata mkubwa!Kuchunguza namna Ubongo wa vijana wa Chadema unavyofanya kazi, ni kazi moja ngumu kuwahi kutokea
Unadhani wangetoa sababu ipi Ili uridhike?
Ratiba ya kurejesha Form iliwekwa na Tume na Lissu alipangwa saa 6 mchana lakini kwa ujuaji wake na kujifanya anajua kila kitu hakuthibitisha wadhamini wake jimboni kama walivyofanya wengine na hivyo kusababisha yeye awasilishe form zake usiku wa manane baada ya Tume kukamilisha uthibitishwaji na hivyo akawa wa mwisho kwenye orodha. Hata hivyo , hili si muhimu, la msingi ni kuwa watanzania tumeamua tutampigia kura za kimbunga Dkt Magufuli. Ungana na watanzania wengi umpe kura yako JPMRatiba ya upokeaji form iliwekwa na tume yenyewe.
Hii safi sana.Akihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza na Tundu Lissu alirejesha akiwa wa mwisho.
Ameongeza kuwa kwa ngazi za ubunge na udiwani wagombea walipangwa katika karatasi za kura kwa maelekezo ya Tume
Hata hivyo amesema hiyo si sababu ya mpiga kura kutompigia kura mgombea anayemtaka.
Katika hatua nyingine amesema tume imejipanga kikamilifu kuondoa changamoto katika mchakato huu wa uchaguzi.
Nikipata nafasi nitawawekea audio clip
mbarikiwe
Byabato
Bukoba.
Ndo shida itakapoanziaKuna baadhi ya karatasi halitokuwepo kabisa
Mkuu, ficha Ujinga wako aisee,Nimeuliza, unadhani ni sababu ipi ambayo ingeridhisha Ubongo na uelewa wako wewe??Hapa hata wewe uelewa wako una utata mkubwa!
Unaonekana kuwa mwenye fikra nyembamba kuliko kuliko sindano ya mkono! Yaani wewe kwa akili zako zote unaona hiyo ilikuwa ni sababu ya kuleta mbele ya umma kwamba majina yamechapwa kufuata muda mgombea alipoleta form??
Kwani yale ya wabunge na madiwani hayakuwa hivyo?
Aliyepanga ratiba ya kupeleka form tue ni wagombea au tume???.... Ndo ninyi hata mlipokuwa shule ukifeli mtihani mzazi akienda kukuuliza nyumbani unamwabia sabubu siku ya mtihani kulikuwa na baridi!
Think beyond the box!