Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwi Kwi Kwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo wewe tayari umeona umeficha ujinga wako?? Nina maana maana mtu mzima hawezi kupokea au kuielewa sababu ya kitoto kama hiyo! Kama wewe umeridhishwa nayo kaa kimya, basi usilazimishe na wengine wafikiri kwa kimo kifupi kama chako!Mkuu, ficha Ujinga wako aisee,Nimeuliza, unadhani ni sababu ipi ambayo ingeridhisha Ubongo na uelewa wako wewe??
Halafu unaongea utumbo Hapa!
Hivi kwa vigezo vyako vyote na kwa akili yako yote unaweza kumfananisha Lisu na Magufuli?Hata lingekuwa la kwanza hakuna kitu kingebadilika. Tundu nafasi ya kuwa Rais bado!
Mimi baada ya kuona jiwe kama Rais basi naamini mtu yoyote anaweza kuwa Rais hata wewe pamoja na utopolo wako jua unaweza kuwa Rais
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Mkuu kuna haja ya matusi kweli?Uongozi sio kitu kidogo kama ilivyo akili yako.
Mahaba yako kwa Tundu yamebeba ufahamu wako wote, pumbaffff!
Hata jina la mwisho vivyo hivyo ili mradi mpiga kura kama anamtaka huyo wa mwisho hana haja ya kusoma majina ya juu yeye ni kufuata jina la mwisho na kuweka tick kama anajua kuwa mgombea wake yuko mwishoni!Aisee Lazima utambue hiyo kitu sio ndogo kama unavyoichukulia wewe!
Watanzania wengine hawana elimu, kuna wasiojuwa kusoma, hivyo kulitafta jina la Mgombea ni kazi kidogo, Lakini kama mgombea jina lake ni la kwanza wewe huoni ni rahisi tu mtu akafika chumba cha kwanza na kutia alama ya tik hata bila kusoma??
na vile vile atakuwa wa mwisho hata kwenye matokeo ya uchaguziAkihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza na Tundu Lissu alirejesha akiwa wa mwisho.
Ameongeza kuwa kwa ngazi za ubunge na udiwani wagombea walipangwa katika karatasi za kura kwa maelekezo ya Tume
Hata hivyo amesema hiyo si sababu ya mpiga kura kutompigia kura mgombea anayemtaka.
Katika hatua nyingine amesema tume imejipanga kikamilifu kuondoa changamoto katika mchakato huu wa uchaguzi.
Nikipata nafasi nitawawekea audio clip
mbarikiwe
Byabato
Bukoba.
au ageuze karatasiHata jina la mwisho vivyo hivyo ili mradi mpiga kura kama anamtaka huyo wa mwisho hana haja ya kusoma majina ya juu yeye ni kufuata jina la mwisho na kuweka tick kama anajua kuwa mgombea wake yuko mwishoni!
Kwa ajili nchi ya baba yako sio..kawaulize Seychelles na Malawi..huu mwaka mbaya kwa vyama dolaHata lingekuwa la kwanza hakuna kitu kingebadilika. Tundu nafasi ya kuwa Rais bado!
Akihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza na Tundu Lissu alirejesha akiwa wa mwisho.
Ameongeza kuwa kwa ngazi za ubunge na udiwani wagombea walipangwa katika karatasi za kura kwa maelekezo ya Tume
Hata hivyo amesema hiyo si sababu ya mpiga kura kutompigia kura mgombea anayemtaka.
Katika hatua nyingine amesema tume imejipanga kikamilifu kuondoa changamoto katika mchakato huu wa uchaguzi.
Nikipata nafasi nitawawekea audio clip
mbarikiwe
Byabato
Bukobammh
Basi uchaguzi mwingine wapange mlalo ili kila mmoja awe wa kwanza.Aisee Lazima utambue hiyo kitu sio ndogo kama unavyoichukulia wewe!
Watanzania wengine hawana elimu, kuna wasiojuwa kusoma, hivyo kulitafta jina la Mgombea ni kazi kidogo, Lakini kama mgombea jina lake ni la kwanza wewe huoni ni rahisi tu mtu akafika chumba cha kwanza na kutia alama ya tik hata bila kusoma??