NEC: Jina la Tundu Lissu liko mwisho wa karatasi ya kupiga kura kwasababu alirejesha fomu akiwa wa mwisho

NEC: Jina la Tundu Lissu liko mwisho wa karatasi ya kupiga kura kwasababu alirejesha fomu akiwa wa mwisho

Kuwa wa kwanza au wa mwisho kwenye karatasi haijalishi kusema ukweli kwa mtu aliyeamua tayari kumpigia kura mtu flani.

Harafu uzuri huo mfano wa karatasi umetolewa mapema na watu wengi tayari wanajua wanaowataka wapo position ipi. Malalamiko mengine hayana mantiki
 
Mkuu, ficha Ujinga wako aisee,Nimeuliza, unadhani ni sababu ipi ambayo ingeridhisha Ubongo na uelewa wako wewe??

Halafu unaongea utumbo Hapa!
Sasa hapo wewe tayari umeona umeficha ujinga wako?? Nina maana maana mtu mzima hawezi kupokea au kuielewa sababu ya kitoto kama hiyo! Kama wewe umeridhishwa nayo kaa kimya, basi usilazimishe na wengine wafikiri kwa kimo kifupi kama chako!
 
Hata lingekuwa la kwanza hakuna kitu kingebadilika. Tundu nafasi ya kuwa Rais bado!
Hivi kwa vigezo vyako vyote na kwa akili yako yote unaweza kumfananisha Lisu na Magufuli?
Ni tofauti sana, ni kama usiku na mchana ilivyo tofauti.
 
Mimi baada ya kuona jiwe kama Rais basi naamini mtu yoyote anaweza kuwa Rais hata wewe pamoja na utopolo wako jua unaweza kuwa Rais

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app

Uongozi sio kitu kidogo kama ilivyo akili yako.
Mahaba yako kwa Tundu yamebeba ufahamu wako wote, pumbaffff!
 
Dah, From technical perspective. Huu ndo ushindi wenyewe. CCM itabidi wamlipe millions aliyewapa hii idea.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
20201002_131441.jpg
 
Aisee Lazima utambue hiyo kitu sio ndogo kama unavyoichukulia wewe!
Watanzania wengine hawana elimu, kuna wasiojuwa kusoma, hivyo kulitafta jina la Mgombea ni kazi kidogo, Lakini kama mgombea jina lake ni la kwanza wewe huoni ni rahisi tu mtu akafika chumba cha kwanza na kutia alama ya tik hata bila kusoma??
Hata jina la mwisho vivyo hivyo ili mradi mpiga kura kama anamtaka huyo wa mwisho hana haja ya kusoma majina ya juu yeye ni kufuata jina la mwisho na kuweka tick kama anajua kuwa mgombea wake yuko mwishoni!
 
Imependeza sana ukifika mwisho, mwiko kuangalia ulipotoka utageuka jiwe unaweka tik kwa Lisu.
 
Akihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza na Tundu Lissu alirejesha akiwa wa mwisho.

Ameongeza kuwa kwa ngazi za ubunge na udiwani wagombea walipangwa katika karatasi za kura kwa maelekezo ya Tume

Hata hivyo amesema hiyo si sababu ya mpiga kura kutompigia kura mgombea anayemtaka.

Katika hatua nyingine amesema tume imejipanga kikamilifu kuondoa changamoto katika mchakato huu wa uchaguzi.

Nikipata nafasi nitawawekea audio clip
mbarikiwe

Byabato
Bukoba.
na vile vile atakuwa wa mwisho hata kwenye matokeo ya uchaguzi
 
Hata jina la mwisho vivyo hivyo ili mradi mpiga kura kama anamtaka huyo wa mwisho hana haja ya kusoma majina ya juu yeye ni kufuata jina la mwisho na kuweka tick kama anajua kuwa mgombea wake yuko mwishoni!
au ageuze karatasi
 
Hata lingekuwa la kwanza hakuna kitu kingebadilika. Tundu nafasi ya kuwa Rais bado!
Kwa ajili nchi ya baba yako sio..kawaulize Seychelles na Malawi..huu mwaka mbaya kwa vyama dola
 
Majambazi yasiyo amini kwenye haki huku alikaa masaa kibao siku ya kurudisha form.
 
Akihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza na Tundu Lissu alirejesha akiwa wa mwisho.

Ameongeza kuwa kwa ngazi za ubunge na udiwani wagombea walipangwa katika karatasi za kura kwa maelekezo ya Tume

Hata hivyo amesema hiyo si sababu ya mpiga kura kutompigia kura mgombea anayemtaka.

Katika hatua nyingine amesema tume imejipanga kikamilifu kuondoa changamoto katika mchakato huu wa uchaguzi.

Nikipata nafasi nitawawekea audio clip
mbarikiwe

Byabato
Bukobammh
 
Aisee Lazima utambue hiyo kitu sio ndogo kama unavyoichukulia wewe!
Watanzania wengine hawana elimu, kuna wasiojuwa kusoma, hivyo kulitafta jina la Mgombea ni kazi kidogo, Lakini kama mgombea jina lake ni la kwanza wewe huoni ni rahisi tu mtu akafika chumba cha kwanza na kutia alama ya tik hata bila kusoma??
Basi uchaguzi mwingine wapange mlalo ili kila mmoja awe wa kwanza.
 
Back
Top Bottom