Nndu wa Selote
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 733
- 520
Siyo 'akisubili' ni 'akisubiri'Umenikumbusha ile hadithi ya fisi akisubili mkono udondoke. Uko darasa la ngapi?
Je kushea mawazo au kumsifia mwenzako wachama kingine nikosa?NEC: TIMU ZA KAMPENI
Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3).
Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda timu yake ya kampeni siku mbili kabla ya kuanza kwa mchakato wa uteuzi au siku saba baada ya uteuzi, kama ifuatavyo:
1. Mgombea Urais anapaswa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi hamsini (50). (Kanuni 17(1)(a)
2. Mgombea ubunge katika eneo la Tanzania Bara anapaswa kuwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri husika timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi ishirini (20). (Kanuni 17(1) (b);
Nafahamu kuhusu kanuni na sheria za nchi JMT na sio za uchaguzi' hapa nilitaka kuelewa kwann inakua hivyo na umenipa jibu sahihi kwa ushahidi pia wa picha. Kama kanuni imeruhusu idadi ya wajumbe ktk kumsaidia mtu wao sijaona tatizo ila kwa ratiba hiyo bado umenipa maswali kwa NEC na kuzidi kuelewa juu ya swali la mh.Lissu kwa mamlaka husika. Unajua hii ni sehemu ya kutaka kuelewa iwapo utapenda hivyo ila kuna wapuuzi tu kama kijiwe cha kahawa ukitaka kwenda nao hivyo' Mie si mmoja wao kati ya wapuuzi ingawa kahawa tunainywa wote.Leta yako unayoijua tuijadili.
Kama vyamaNEC: TIMU ZA KAMPENI
Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3).
Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda timu yake ya kampeni siku mbili kabla ya kuanza kwa mchakato wa uteuzi au siku saba baada ya uteuzi, kama ifuatavyo:
1. Mgombea Urais anapaswa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi hamsini (50). (Kanuni 17(1)(a)
2. Mgombea ubunge katika eneo la Tanzania Bara anapaswa kuwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri husika timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi ishirini (20). (Kanuni 17(1) (b);
unasubiri nini sasa si kapeleka mashtaka sehemu husika au hupajui ? watu wavijijini wanashida sana wakija town.Sheria hazimruhusu waziri, mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya kupiga kampeni kwa chama chochote.
Tuliza kichwa utaelewa.
Lissu hamna kitu full kukariri, si unaona anavotoa upepo ata akipiga yale makelele yake.Hahahhaha.. Washabiki wa Lisu ni wajinga sana aisee!
Sheria zipo na Lisu anaejifanya kujua sheria hatukutegemea kuhoji swali la kipopoma kama hilo
Juzi alitoa povu eti rais kaita wakurugenzi wa halmashauri zote. Jamaa huyu kichwa kimelegea sana!Lissu hamna kitu full kukariri, si unaona anavotoa upepo ata akipiga yale makelele yake.
We umeona kijijini ni tusi sio...unasubiri nini sasa si kupeleka mashtaka sehemu husika au hupajui ? watu wavijijini wanashida sana wakija town.
Hahahhaha.. Washabiki wa Lisu ni wajinga sana aisee!
Sheria zipo na Lisu anaejifanya kujua sheria hatukutegemea kuhoji swali la kipopoma kama hilo
Kwani yeye siyo mtanzania?Hawajajibu waziri mkuu anafanya kampeni za urais kwa kifungu gani cha sheria.
Mnashida sana aisee, tunawavumilia tu kwa vile ni Watanzania wenzetu ila mko na tabia ngumu kumeza, mkiwa uko kwa bibi huwa hamna shida ila mkitimba town na mkaanza kuvaa miregezo inakuwa shidaaa.We umeona kijijini ni tusi sio...
Wewe sifikirii kama Maiti yako itapata nafasi ya kuzikwa hapo mjini"
Na hapo ndipo kwnye tatizo la huyu baba, anaendeshwa na mihemko mimi nafikiria Mh mgombea urais kupitia Chadema hajaweka record sawa , ile risasi alosema imebakia mwilini itakuwa imelala kwenye ubongo.Juzi alitoa povu eti rais kaita wakurugenzi wa halmashauri zote. Jamaa huyu kichwa kimelegea sana!
Ndugu tuambie basi NEC walitoa ratiba ya kampeni ya Majaliwa lini na wapi?Lissu hamna kitu full kukariri, si unaona anavotoa upepo ata akipiga yale makelele yake.
NdioNimekuelewa unachoelewa ila bado niulize hiyo ndo ratiba pekee inayotolewa na NEC?
Je, Mgombea anaweza kuwa kwenye timu ya kampeni ya mgombea mwingine?
Huu ufafanuzi umetolewa wapi na ameutoa nani? Je, kuna a written statement? Kama ipo tuwekee hapa tafadhali.NEC: TIMU ZA KAMPENI
Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3).
Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda timu yake ya kampeni siku mbili kabla ya kuanza kwa mchakato wa uteuzi au siku saba baada ya uteuzi, kama ifuatavyo:
1. Mgombea Urais anapaswa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi hamsini (50). (Kanuni 17(1)(a)
2. Mgombea ubunge katika eneo la Tanzania Bara anapaswa kuwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri husika timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi ishirini (20). (Kanuni 17(1) (b);
NEC: TIMU ZA KAMPENI