Uchaguzi 2020 NEC yafafanua Timu za Kampeni baada ya Tundu Lissu kuhoji ushiriki wa Kassim Majaliwa katika kuzunguka nchi nzima

NEC: TIMU ZA KAMPENI

Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3).

Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda timu yake ya kampeni siku mbili kabla ya kuanza kwa mchakato wa uteuzi au siku saba baada ya uteuzi, kama ifuatavyo:

1. Mgombea Urais anapaswa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi hamsini (50). (Kanuni 17(1)(a)

2. Mgombea ubunge katika eneo la Tanzania Bara anapaswa kuwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri husika timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi ishirini (20). (Kanuni 17(1) (b);
Je kushea mawazo au kumsifia mwenzako wachama kingine nikosa?
Kwenda kusikiliza kampeni zamwenzako nikosa?
Kukaribishwa nachama kingine kulingana naheshima ulionayo nikosa?
 
Leta yako unayoijua tuijadili.
Nafahamu kuhusu kanuni na sheria za nchi JMT na sio za uchaguzi' hapa nilitaka kuelewa kwann inakua hivyo na umenipa jibu sahihi kwa ushahidi pia wa picha. Kama kanuni imeruhusu idadi ya wajumbe ktk kumsaidia mtu wao sijaona tatizo ila kwa ratiba hiyo bado umenipa maswali kwa NEC na kuzidi kuelewa juu ya swali la mh.Lissu kwa mamlaka husika. Unajua hii ni sehemu ya kutaka kuelewa iwapo utapenda hivyo ila kuna wapuuzi tu kama kijiwe cha kahawa ukitaka kwenda nao hivyo' Mie si mmoja wao kati ya wapuuzi ingawa kahawa tunainywa wote.
 
NEC: TIMU ZA KAMPENI

Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3).

Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda timu yake ya kampeni siku mbili kabla ya kuanza kwa mchakato wa uteuzi au siku saba baada ya uteuzi, kama ifuatavyo:

1. Mgombea Urais anapaswa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi hamsini (50). (Kanuni 17(1)(a)

2. Mgombea ubunge katika eneo la Tanzania Bara anapaswa kuwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri husika timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi ishirini (20). (Kanuni 17(1) (b);
Kama vyama
Chadema
A c t na vingine
Ikiwa ccm wakishinda je hivyo vyama havina ruhusa kuipongeza ccm?
 
Sheria hazimruhusu waziri, mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya kupiga kampeni kwa chama chochote.

Tuliza kichwa utaelewa.
unasubiri nini sasa si kapeleka mashtaka sehemu husika au hupajui ? watu wavijijini wanashida sana wakija town.
 
Hahahhaha.. Washabiki wa Lisu ni wajinga sana aisee!

Sheria zipo na Lisu anaejifanya kujua sheria hatukutegemea kuhoji swali la kipopoma kama hilo
Lissu hamna kitu full kukariri, si unaona anavotoa upepo ata akipiga yale makelele yake.
 
Juzi alitoa povu eti rais kaita wakurugenzi wa halmashauri zote. Jamaa huyu kichwa kimelegea sana!
 
Tatizo la mgombea wetu Lisu ni kukurupuka kabla hajaelewa kitu ndio maana alijikuta ameshatembea nusu ya Tanzania na mgombea mwenza kukusanya saini za udhamini wakati wagombea wenzao wote wamebaki nyumbani karatasi zikipitishwa na wasaidizi walipostuka la haula wameshatumia gharama kubwa na nguvu nyingi hatimae vyuma vimeanza kulegea.
 
Majaliwa alikuwa mgombea na hakuwa anajua kuwa atapita bila kupingwa Sasa hizo siku 2 kabla maombi yake iliwasilishwa lini
 
unasubiri nini sasa si kupeleka mashtaka sehemu husika au hupajui ? watu wavijijini wanashida sana wakija town.
We umeona kijijini ni tusi sio...

Wewe sifikirii kama Maiti yako itapata nafasi ya kuzikwa hapo mjini"
 
Msaada tutani hivi bado tuna Waziri Mkuu kipindi su wanamtambulishaje ili tujadili
 
We umeona kijijini ni tusi sio...

Wewe sifikirii kama Maiti yako itapata nafasi ya kuzikwa hapo mjini"
Mnashida sana aisee, tunawavumilia tu kwa vile ni Watanzania wenzetu ila mko na tabia ngumu kumeza, mkiwa uko kwa bibi huwa hamna shida ila mkitimba town na mkaanza kuvaa miregezo inakuwa shidaaa.
 
Juzi alitoa povu eti rais kaita wakurugenzi wa halmashauri zote. Jamaa huyu kichwa kimelegea sana!
Na hapo ndipo kwnye tatizo la huyu baba, anaendeshwa na mihemko mimi nafikiria Mh mgombea urais kupitia Chadema hajaweka record sawa , ile risasi alosema imebakia mwilini itakuwa imelala kwenye ubongo.
 
Je, Mgombea anaweza kuwa kwenye timu ya kampeni ya mgombea mwingine?

Wote hawa walikuwa kwenye ile timu engua engua ili wapate muda wa kumpigia debe jiwe.

Si tume si majaliwa wote lao lilikuwa moja from day 1.

Engua engua ilikuwa targeted na deliberate.
 
NEC: TIMU ZA KAMPENI

Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3).

Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda timu yake ya kampeni siku mbili kabla ya kuanza kwa mchakato wa uteuzi au siku saba baada ya uteuzi, kama ifuatavyo:

1. Mgombea Urais anapaswa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi hamsini (50). (Kanuni 17(1)(a)

2. Mgombea ubunge katika eneo la Tanzania Bara anapaswa kuwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri husika timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi ishirini (20). (Kanuni 17(1) (b);
Huu ufafanuzi umetolewa wapi na ameutoa nani? Je, kuna a written statement? Kama ipo tuwekee hapa tafadhali.
 
NEC: TIMU ZA KAMPENI

Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3).

Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda timu yake ya kampeni siku mbili kabla ya kuanza kwa mchakato wa uteuzi au siku saba baada ya uteuzi, kama ifuatavyo:

1. Mgombea Urais anapaswa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi hamsini (50). (Kanuni 17(1)(a)

2. Mgombea ubunge katika eneo la Tanzania Bara anapaswa kuwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri husika timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi ishirini (20). (Kanuni 17(1) (b);

Lissu atakuja kupangua na Hii hoja, these people should know kwamba they can’t compete with lissue!

Kama ccm wangeamua Kuwa fair tokea Mwanzo walikuwa na uwezo wa kushinda, ila kila siku wanampa lissu kura za huruma!
 
Back
Top Bottom