Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenikumbusha ile hadithi ya fisi akisubili mkono udondoke. Uko darasa la ngapi?Lissu atawahenyesha hawa hadi wajiuzulu
Kitanzi ndiyo kipo hapaJe,mgombea anaweza kuwa kwenye timu ya kampeni ya mgombea mwingine?
Ratiba zipi?Polepole anasema majaliwa ni mjumbe wa NEC ya CCM ndo kigezo kinachomfanya awe kwenye kampeni na NEC wanasema ni timu ya kampeni lakini hatumwoni kwenye ratiba zao.
Hamna kituSasa hapo kafafanua nini?!
Hapo tumeshajua Lisu kwamba kumbe hadi sheria hakuzisoma.Lissu atawahenyesha hawa hadi wajiuzulu
Ufafanuzi gani tena wakati kanuni za uchaguzi zinajieleza kabisa? Au wew ndiye ulikuwa una msumbua mwalmu wako darasani kuhusu kanuni za MAGAZIJUTO?Walikuwa wapi kipindi chote wasitoe ufafanuzi?
Je Waziri mkuu anamfanyia kampeni rais na kutoa ahadi za kuagiza utekelezaji kama nai maana huku anatajwa kama mjumbe wa kamati ya kampeni na si waziri mkuu?
Je sheria inamruhusu mjumbe kufanya kampeni eneo ambalo mgombea hayupo, na kama ndivyo, je ratiba si zitaingiliana na wagombea wengine?
Je huyo waziri hakuwa na mpinzani kule ruangwa?
Sheria hazimruhusu waziri, mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya kupiga kampeni kwa chama chochote.So
Si umeambiwa ni timu ya kampeni au hjaelewa
Hahahhaha.. Washabiki wa Lisu ni wajinga sana aisee!
Sheria zipo na Lisu anaejifanya kujua sheria hatukutegemea kuhoji swali la kipopoma kama hilo
umeyaona hayo majina ya wapiga kampeni wa ccm au unakurupuka tu , na tukikuambia tangu juzi Mahera na timu yake wanalala ofisini ili kupangua hoja za Lissu bila mafanikio utakuwa tayari kukubali ?Hapo tumeshajua Lisu kwamba kumbe hadi sheria hakuzisoma.
Ratiba waliyotoa timu ni ya Wagombea na Makamu zao!! Sasa Tume watuambie Ratiba ya Kassimu Majaliwa waliitoa wapi na lini?Ratiba zipi?
Hivi hizo ratiba zinaonesha hadi majina ya wana timu ya kampeni?
Hivi Majaliwa akiwa Kagera na Magu yuko Iringa, Majaliwa akisema niko kwenye timu na ratiba ya mgimbea ubunge wa jimbo husika utakuwa na la kuhoji?
Kama ni Mgombea katika ngazi moja sidhani, ila kama katika ngazi tofauti sioni kama lina shida.Je,mgombea anaweza kuwa kwenye timu ya kampeni ya mgombea mwingine?
Unajuaje kama iko kimya?Nilipokuwa darsa la nne niliambiwa sheria ikikaa kimya, ujue inaruhusu. uko darasa la ngapi?
Ufafanuzi gani tena wakati kanuni za uchaguzi zinajieleza kabisa? Au wew ndiye ulikuwa una msumbua mwalmu wako darasani kuhusu kanuni za MAGAZIJUTO?
Ndio maana tunasema washabiki wa Lisu ni wajinga kama mgombea wao.Ratiba waliyotoa timu ni ya Wagombea na Makamu zao!! Sasa Tume watuambie Ratiba ya Kassimu Majaliwa waliitoa wapi na lini?
Tupe ratiba ya mapiko kama kweli anatambulika kwenye ratiba ya NECTukiwambia Lisu ni debe tupu anaetumia ukiazi wa washabiki wake kuwadanganya mnabisha.
Kwahiyo hivyo vifungu yeye Lisu hakuvisoma?