Uchaguzi 2020 NEC yafafanua Timu za Kampeni baada ya Tundu Lissu kuhoji ushiriki wa Kassim Majaliwa katika kuzunguka nchi nzima

Uchaguzi 2020 NEC yafafanua Timu za Kampeni baada ya Tundu Lissu kuhoji ushiriki wa Kassim Majaliwa katika kuzunguka nchi nzima

Kwa hyo hyo timu ya kampeni wanaweza shirikishwa watu waliokatazwa kwenye kanuni kama waziri mkuu, mkuu was mkoa au was wilaya? Tume bado mambo hawajayaweka sawa.
 
Halafu eti Msaliti Lissu mnasema ni gwiji la sheria nchini kama ameshindwa hata kutafasiri vifungu hivyo!! Na mbumbumbu wa chadema walikuwa wanashangilia kama ameongea kitu cha maana sana eti Waziri Mkuu Majaliwa na piga kampeni kama nani?
2010 na 2015 mbona pinda waziri mkuu akuzinguka kumuombea kura mgombea urais wa kipindi hicho
 
CCM wanasema ni mjumbe wa halmashauri kuu sio PM haaa haaa
Kwa hiyo tumtambue Majaliwa kama mjumbe na sio waziri?

kama bado ni waziri katiba inamzuia na aache mara moja.
 
Gongesha hilo bichwa lako ukutani ili akili zako zikae sawa kisha leta vifungu vya sheria ya uchaguzi inayokiukwa na waziri mkuu.
Waziri mkuu hatakiwi kuwa upande was kampeni kamwe.huo ndo ukweli
 
NEC: TIMU ZA KAMPENI

Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3)).

Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda timu yake ya kampeni siku mbili kabla ya kuanza kwa mchakato wa uteuzi au siku saba baada ya uteuzi, kama ifuatavyo:

1.Mgombea Urais anapaswa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi hamsini (50). (Kanuni 17(1)(a))

2.Mgombea ubunge katika eneo la Tanzania Bara anapaswa kuwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri husika timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi ishirini (20). (Kanuni 17(1)(b));
Hivi Anti sheria kasomea wapi?, au ni zile za juu ya meza
 
Halafu eti Msaliti Lissu mnasema ni gwiji la sheria nchini kama ameshindwa hata kutafasiri vifungu hivyo!! Na mbumbumbu wa chadema walikuwa wanashangilia kama ameongea kitu cha maana sana eti Waziri Mkuu Majaliwa na piga kampeni kama nani?
Mbona mnashindwa jibu swali dogo sana! Ni lini na wapi NEC walitoa ratiba ya kampeni ya Kassim Majaliwa???
 
Kwani kuna shida?

Ndio maana tunawambia wengi humu mmeanza kufuatilia siasa baada ya Lisu kutoka ubelgiji.

Lowasa alikuwa na kampeni ya nguvu sana 2015 kuna timu zilijigawa kila kanda.

Mbowe, Lema na kina Msigwa wote waliacha majimbo yao na kuzunguka huku na huko kumnadi EL.
.
Safari hii chadema haina hela ndio maana unaona Lisu kabaki ana hangaika peke yake, usifikiri anafuata kanuni za uchaguzi hapana ni hela hana, angekuwa nazo kama EL 2015 ungeona timu za kampeni kila kona.
Yaani wewe yawezekana hujui kitu.
Umeambiwa hizi sheria ni mpya zina marekebisho makubwa ya uchaguzi 2020. Tafuta sheria ya 2015 usome usilete watu ujinga wako na upofu wa sheria hapa.

I doesn't matter Waziri mkuu ni mjumbe wa kamati kuu, naye ni mgombea ana jimbo lake la Ruangwa sharia inamzuia kua kwenye timu ya mgombea Urais. Yaani CCM sijui mkoje
 
kifungu gani kinamzuia?
Anatetea na kusimamia chama kinachomwajiri ama?

Viva Magu 2020 to 2030
Basi kama NEC wanamtambua kama ni Team ya Kampeni ya Magufuli tuambie, ni lini na wapi NEC walitoa ratiba yake ya Kampeni??
 
Jibu unalotafuta hapo ni lile la wanafunzi wa darasa la pili. Aliyeko la saba anaelewa sana, ukimuuliza baba yako ni nani, akisema huyu ni mume wa mama inatosha. Yaonekana Lissu hakujua hilo na hakuitumia nafasi hiyo kwa uzembe. Sijui kwa nini hakujiuliza 2015 waliomsindikiza Lowasa walikuwa wanatafuta nini!
Timu ya kampeini majina yanawasilishwa siku saba baada ya uteuzi,,,
Je mgombea wa ubunge,anaruhusiwa kuwa katika timu ya kampeini ya mgombea mwingine?
 
Kwa hyo hyo timu ya kampeni wanaweza shirikishwa watu waliokatazwa kwenye kanuni kama waziri mkuu, mkuu was mkoa au was wilaya? Tume bado mambo hawajayaweka sawa.
Mkuu hayaelewi lolote kuhusu kanuni hii.
 
Yaani wewe yawezekana huna hata akili umevimbisha kichwa na tumbo tu hujui kitu.
Umeambiwa hizi sheria ni mpya zina marekebisho makubwa ya uchaguzi 2020. Tafuta sheria ya 2015 usome usilete watu ujinga wako na upofu wa sheria hapa.

I doesn't matter Waziri mkuu ni mjumbe wa kamati kuu, naye ni mgombea ana jimbo lake la Ruangwa sharia inamzuia kua kwenye timu ya mgombea Urais. Yaani CCM sijui mkoje, mnajamba jamba tu
Sasa hizi hasira zako kwanini usipeleke kuzimalizia kwa kupiga kampeni nyumba kwa nyumba ili Lisu walau avushe 20% hapo oktoba?

Tumewaambia leteni vifungu vya sheria vinavyovunjwa na waziri mkuu alafu mnaleta ngonjera za sijui ana jimbo la kugombea,. BURE KABISA NYIE.
 
Waziri mkuu ameamua bora ashindwe ubunge lakini rais ashinde. Ratiba ni kazi ya tume.
Mwisho nasema, swali la kijinga, linapewa majibu ya kijinga.
Aah bana kwani ugomvi,we mweleweshe tu kwa lugha ya kistaarabu wote ni watanzania,,hizi ni siasa tu,unapotumia lugha ya staha,unawavuta watu kwako,
Law of attraction
 
Timu ya kampeini majina yanawasilishwa siku saba baada ya uteuzi,,,
Je mgombea wa ubunge,anaruhusiwa kuwa katika timu ya kampeini ya mgombea mwingine?
Kama akanuni haijasema chochote kuhusu hilo kwa akili yako unapata jibu gani?
 
Mbona mnashindwa jibu swali dogo sana! Ni lini na wapi NEC walitoa ratiba ya kampeni ya Kassim Majaliwa???
Watu wanaongelea sheria wewe unaongelea ratiba? Mmmmh tunakazi ya kuwaelimisha nyinyi
 
Ndio sheria inavyosema au unataka iwe hivyo kwa busara zako tu?

Je, kuna shughuli yeyote ya selikali imeathirika kiutendaji sababu ya Waziri mkuu kuwa kwenye kampeni?

Naam!

Sisi wenye shida naye za kiofisi tunashindwa kumuona kupata ufumbuzi wa matatizo yetu kwa sababu yuko kwenye kampeni kumpigania mtu mwingine.

Kila tukienda tunaambiwa subiri waziri mkuu arudi ofisini, yuko kwenye kampeni za kumnadi Magufuli
 
Back
Top Bottom