LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Kwa hyo hyo timu ya kampeni wanaweza shirikishwa watu waliokatazwa kwenye kanuni kama waziri mkuu, mkuu was mkoa au was wilaya? Tume bado mambo hawajayaweka sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2010 na 2015 mbona pinda waziri mkuu akuzinguka kumuombea kura mgombea urais wa kipindi hichoHalafu eti Msaliti Lissu mnasema ni gwiji la sheria nchini kama ameshindwa hata kutafasiri vifungu hivyo!! Na mbumbumbu wa chadema walikuwa wanashangilia kama ameongea kitu cha maana sana eti Waziri Mkuu Majaliwa na piga kampeni kama nani?
Kama hujui kutafasiri sheria kalale au nenda kamsikilize Msaliti LissuHoja ni sheria inasemaje kuhusu Waziri Mkuu?
Kwa hiyo tumtambue Majaliwa kama mjumbe na sio waziri?CCM wanasema ni mjumbe wa halmashauri kuu sio PM haaa haaa
Waziri mkuu hatakiwi kuwa upande was kampeni kamwe.huo ndo ukweliGongesha hilo bichwa lako ukutani ili akili zako zikae sawa kisha leta vifungu vya sheria ya uchaguzi inayokiukwa na waziri mkuu.
Kamsaliti nani mkuuKama hujui kutafasiri sheria kalale au nenda kamsikilize Msaliti Lissu
Una uhakika na hilo au ulikuwa bado unatawazwa kijijini kwenu?2010 na 2015 mbona pinda waziri mkuu akuzinguka kumuombea kura mgombea urais wa kipindi hicho
Sheria ipi? Au ya Ufipa?Waziri mkuu hatakiwi kuwa upande was kampeni kamwe.huo ndo ukweli
Hawajajibu waziri mkuu anafanya kampeni za urais kwa kifungu gani cha sheria.
Hivi Anti sheria kasomea wapi?, au ni zile za juu ya mezaNEC: TIMU ZA KAMPENI
Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3)).
Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda timu yake ya kampeni siku mbili kabla ya kuanza kwa mchakato wa uteuzi au siku saba baada ya uteuzi, kama ifuatavyo:
1.Mgombea Urais anapaswa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi hamsini (50). (Kanuni 17(1)(a))
2.Mgombea ubunge katika eneo la Tanzania Bara anapaswa kuwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri husika timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi ishirini (20). (Kanuni 17(1)(b));
Mbona mnashindwa jibu swali dogo sana! Ni lini na wapi NEC walitoa ratiba ya kampeni ya Kassim Majaliwa???Halafu eti Msaliti Lissu mnasema ni gwiji la sheria nchini kama ameshindwa hata kutafasiri vifungu hivyo!! Na mbumbumbu wa chadema walikuwa wanashangilia kama ameongea kitu cha maana sana eti Waziri Mkuu Majaliwa na piga kampeni kama nani?
Yaani wewe yawezekana hujui kitu.Kwani kuna shida?
Ndio maana tunawambia wengi humu mmeanza kufuatilia siasa baada ya Lisu kutoka ubelgiji.
Lowasa alikuwa na kampeni ya nguvu sana 2015 kuna timu zilijigawa kila kanda.
Mbowe, Lema na kina Msigwa wote waliacha majimbo yao na kuzunguka huku na huko kumnadi EL.
.
Safari hii chadema haina hela ndio maana unaona Lisu kabaki ana hangaika peke yake, usifikiri anafuata kanuni za uchaguzi hapana ni hela hana, angekuwa nazo kama EL 2015 ungeona timu za kampeni kila kona.
Basi kama NEC wanamtambua kama ni Team ya Kampeni ya Magufuli tuambie, ni lini na wapi NEC walitoa ratiba yake ya Kampeni??kifungu gani kinamzuia?
Anatetea na kusimamia chama kinachomwajiri ama?
Viva Magu 2020 to 2030
Timu ya kampeini majina yanawasilishwa siku saba baada ya uteuzi,,,Jibu unalotafuta hapo ni lile la wanafunzi wa darasa la pili. Aliyeko la saba anaelewa sana, ukimuuliza baba yako ni nani, akisema huyu ni mume wa mama inatosha. Yaonekana Lissu hakujua hilo na hakuitumia nafasi hiyo kwa uzembe. Sijui kwa nini hakujiuliza 2015 waliomsindikiza Lowasa walikuwa wanatafuta nini!
Mkuu hayaelewi lolote kuhusu kanuni hii.Kwa hyo hyo timu ya kampeni wanaweza shirikishwa watu waliokatazwa kwenye kanuni kama waziri mkuu, mkuu was mkoa au was wilaya? Tume bado mambo hawajayaweka sawa.
Sasa hizi hasira zako kwanini usipeleke kuzimalizia kwa kupiga kampeni nyumba kwa nyumba ili Lisu walau avushe 20% hapo oktoba?Yaani wewe yawezekana huna hata akili umevimbisha kichwa na tumbo tu hujui kitu.
Umeambiwa hizi sheria ni mpya zina marekebisho makubwa ya uchaguzi 2020. Tafuta sheria ya 2015 usome usilete watu ujinga wako na upofu wa sheria hapa.
I doesn't matter Waziri mkuu ni mjumbe wa kamati kuu, naye ni mgombea ana jimbo lake la Ruangwa sharia inamzuia kua kwenye timu ya mgombea Urais. Yaani CCM sijui mkoje, mnajamba jamba tu
Aah bana kwani ugomvi,we mweleweshe tu kwa lugha ya kistaarabu wote ni watanzania,,hizi ni siasa tu,unapotumia lugha ya staha,unawavuta watu kwako,Waziri mkuu ameamua bora ashindwe ubunge lakini rais ashinde. Ratiba ni kazi ya tume.
Mwisho nasema, swali la kijinga, linapewa majibu ya kijinga.
Kama akanuni haijasema chochote kuhusu hilo kwa akili yako unapata jibu gani?Timu ya kampeini majina yanawasilishwa siku saba baada ya uteuzi,,,
Je mgombea wa ubunge,anaruhusiwa kuwa katika timu ya kampeini ya mgombea mwingine?
Watu wanaongelea sheria wewe unaongelea ratiba? Mmmmh tunakazi ya kuwaelimisha nyinyiMbona mnashindwa jibu swali dogo sana! Ni lini na wapi NEC walitoa ratiba ya kampeni ya Kassim Majaliwa???
Ndio sheria inavyosema au unataka iwe hivyo kwa busara zako tu?
Je, kuna shughuli yeyote ya selikali imeathirika kiutendaji sababu ya Waziri mkuu kuwa kwenye kampeni?