Uchaguzi 2020 NEC yafafanua Timu za Kampeni baada ya Tundu Lissu kuhoji ushiriki wa Kassim Majaliwa katika kuzunguka nchi nzima

Uchaguzi 2020 NEC yafafanua Timu za Kampeni baada ya Tundu Lissu kuhoji ushiriki wa Kassim Majaliwa katika kuzunguka nchi nzima

Waziri mkuu ameamua bora ashindwe ubunge lakini rais ashinde. Ratiba ni kazi ya tume.

Mwisho nasema, swali la kijinga, linapewa majibu ya kijinga.
 
Polepole anasema majaliwa ni mjumbe wa NEC ya CCM ndo kigezo kinachomfanya awe kwenye kampeni na NEC wanasema ni timu ya kampeni lakini hatumwoni kwenye ratiba zao.
Ratiba zipi?

Hivi hizo ratiba zinaonesha hadi majina ya wana timu ya kampeni?

Hivi Majaliwa akiwa Kagera na Magu yuko Iringa, Majaliwa akisema niko kwenye timu na ratiba ya mgimbea ubunge wa jimbo husika utakuwa na la kuhoji?
 
Walikuwa wapi kipindi chote wasitoe ufafanuzi?
Je Waziri mkuu anamfanyia kampeni rais na kutoa ahadi za kuagiza utekelezaji kama nai maana huku anatajwa kama mjumbe wa kamati ya kampeni na si waziri mkuu?

Je sheria inamruhusu mjumbe kufanya kampeni eneo ambalo mgombea hayupo, na kama ndivyo, je ratiba si zitaingiliana na wagombea wengine?

Je huyo waziri hakuwa na mpinzani kule ruangwa?
Ufafanuzi gani tena wakati kanuni za uchaguzi zinajieleza kabisa? Au wew ndiye ulikuwa una msumbua mwalmu wako darasani kuhusu kanuni za MAGAZIJUTO?
 
Hahahhaha.. Washabiki wa Lisu ni wajinga sana aisee!

Sheria zipo na Lisu anaejifanya kujua sheria hatukutegemea kuhoji swali la kipopoma kama hilo

Sawa, ungejibu na hayo maswali mengine niliyouliza.
 
Ratiba zipi?

Hivi hizo ratiba zinaonesha hadi majina ya wana timu ya kampeni?

Hivi Majaliwa akiwa Kagera na Magu yuko Iringa, Majaliwa akisema niko kwenye timu na ratiba ya mgimbea ubunge wa jimbo husika utakuwa na la kuhoji?
Ratiba waliyotoa timu ni ya Wagombea na Makamu zao!! Sasa Tume watuambie Ratiba ya Kassimu Majaliwa waliitoa wapi na lini?
 
Waziri mkuu anatumia rasilimali za kiserikali kufanya kampeni kwa ajili ya Magufuli

Misafara anayotembea nayo Kassim Majaliwa kwenye kampeni ikiwemo walinzi, muda, madereva vyote hivyo ni mali ya serikali havipaswi kutumika kwa ajili ya kumkampenia Mtu maana vinampa mgombea wake unfair advantage dhidi ya wagombea wengine na wote ni Watanzania!
 
Ufafanuzi gani tena wakati kanuni za uchaguzi zinajieleza kabisa? Au wew ndiye ulikuwa una msumbua mwalmu wako darasani kuhusu kanuni za MAGAZIJUTO?

Tatizo ni kukurupuka, soma vizuri nilichouliza, then ujibu hayo maswali.
 
Ratiba waliyotoa timu ni ya Wagombea na Makamu zao!! Sasa Tume watuambie Ratiba ya Kassimu Majaliwa waliitoa wapi na lini?
Ndio maana tunasema washabiki wa Lisu ni wajinga kama mgombea wao.

Ni kujishushia hadhi kubishana na nyie humu kwa vitu vilivyowazi kabisa.
 
Tukiwambia Lisu ni debe tupu anaetumia ukiazi wa washabiki wake kuwadanganya mnabisha.

Kwahiyo hivyo vifungu yeye Lisu hakuvisoma?
Tupe ratiba ya mapiko kama kweli anatambulika kwenye ratiba ya NEC
 
Back
Top Bottom