The Hebrew
JF-Expert Member
- Feb 7, 2015
- 348
- 445
Ndio maana nauliza utendaji wa hiyo timu ya mgombea (wagombea). Kama sheria imewatambua basi sheria hiyo hiyo inamtambua namna ya utendaji kazi wa timu. Wauweke utaratibu wa utendaji wao tuujue.Mkuu sio kama ni hivyo, kiufupi hakuna hiko kitu cha wengine kupita huku na huko wakimnadi mgombea urais vinginevyo NEC ingetoa ratiba zao. Team inapaswa iambatane na mgombea full stop, CCM wakifanya ni sawa na mataga hayo wanayafukia. Upumbavu mkubwa huu
Nakukumbusha, Baraza la mawaziri halijavunjwa kulingana na utaratibu wa sheria zetu.Kumbe sio waziri kwa sasa ...
Sasa kuhusu Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wamesemaje?NEC: TIMU ZA KAMPENI
Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3).
Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda timu yake ya kampeni siku mbili kabla ya kuanza kwa mchakato wa uteuzi au siku saba baada ya uteuzi, kama ifuatavyo:
1. Mgombea Urais anapaswa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi hamsini (50). (Kanuni 17(1)(a)
2. Mgombea ubunge katika eneo la Tanzania Bara anapaswa kuwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri husika timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi ishirini (20). (Kanuni 17(1) (b);
Si bunge lilivunjwa?Kumbe sio waziri kwa sasa ...
Haiwezekani ,Maalim Seif hakumjaza Lisu kwenye timu yake ya kampeni wala Lisu hakujaza Maalim Seif kwenye timu yake ya kampeniJe, Mgombea anaweza kuwa kwenye timu ya kampeni ya mgombea mwingine?
Tuseme basi Majaliwa yuko kwenye listi ya timu ya Magufuli ratiba ya kuzunguka Tanzania nzima peke yake iko wapi.Haiwezekani ,Maalim Seif hakumjaza Lisu kwenye timu yake ya kampeni wala Lisu hakujaza Maalim Seif kwenye timu yake ya kampeni
Najua halijavunjwa...Nakukumbusha, Baraza la mawaziri halijavunjwa kulingana na utaratibu wa sheria zetu.
Mkuu unataka kuona ratiba au uhalali wake ktk hiyo mizunguko?Tuseme basi Majaliwa yuko kwenye timu ya Magufuli ratiba ya kuzunguka Tanzania nzima peke yake iko wapi.
Kama kila mjumbe wa timu wale 50 atakuwa na convoy yake huoni itakuwa fujo.
Ukionyesha ratiba yake kutoka tume ndio uhalali wenyewe.Mkuu unataka kuona ratiba au uhalali wake ktk hiyo mizunguko?
uliko gonga kinywaji... bili tarehe 28 nalipa 😅Ina maana bingwa wa sheria hakuzisoma kanuni hizo. Uzuri amejaliwa kukosa aibu.
Ndo uhalali wake maana yeye anafanya kampeni akiwa mjumbe wa chama na sio waziri mkuu ingawa bado ni PM kwa sababu bado sheria inatambua hivyo. Nadhani swali la mh.Lissu halikutakiwa kua hili au alikua na maana tofauti kidogo ambacho sie bado hatujaonaUkionyesha ratiba yake kutoka tume ndio uhalali wenyewe.
tuna kazi sana na hiki kizazi cha kina kigogoHahahhaha.. Washabiki wa Lisu ni wajinga sana aisee!
Sheria zipo na Lisu anaejifanya kujua sheria hatukutegemea kuhoji swali la kipopoma kama hilo
Tunataka ufafanuzi wa kampeni za waziri mkuuu
Swali linakuwa je NEC inaruhusu kila mjumbe kati ya wale 50 wazunguke peke yao bila utaratibu au ratiba maalumu.Ndo uhalali wake maana yeye anafanya kampeni akiwa mjumbe wa chama na sio waziri mkuu ingawa bado ni PM kwa sababu bado sheria inatambua hivyo. Nadhani swali la mh.Lissu halikutakiwa kua hili au alikua na maana tofauti kidogo ambacho sie bado hatujaona
Kila mgombea wa ubunge anaratiba ya kampeni ktk jimbo lake, sasa Kassim Majaliwa anatumia ratiba hiyo kwa jimbo husika kumwombea kura mgombea ubunge na rais! Anafanya hivyo kwa kuwa moja, ni mjumbe wa halmashauri kuu, pili, in mmoja kati ya timu ya mgombea urais!Sasa NEC waseme ratiba ya kampeni ya Kassim Majaliwa waliitoa wapi na lini?