- Thread starter
- #121
Ishu ni kuwa WM anatumia ratiba ipi ya NEC.Haya machadema sheria ya uchaguzi huwa hayasomi kabisa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishu ni kuwa WM anatumia ratiba ipi ya NEC.Haya machadema sheria ya uchaguzi huwa hayasomi kabisa...
Huu ndio "ufafanuzi"? Mbona hawasemi vifungu allivyotaja TL kama havihusiki katika haja yake ya kupinga ushiriki wa PM Majaliwa ktk kampeni za JPM?NEC: TIMU ZA KAMPENI
Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3).
Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda timu yake ya kampeni siku mbili kabla ya kuanza kwa mchakato wa uteuzi au siku saba baada ya uteuzi, kama ifuatavyo:
1. Mgombea Urais anapaswa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi hamsini (50). (Kanuni 17(1)(a)
2. Mgombea ubunge katika eneo la Tanzania Bara anapaswa kuwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri husika timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi ishirini (20). (Kanuni 17(1) (b);
NEC: TIMU ZA KAMPENI

Tunataka ufafanuzi wa kampeni za waziri mkuuu
Nimeshaelewa kwa nini waalimu wa primary school wanalazimika kutumia fimbo.Japo mengi mnakosa kuelewa hadi hapo unashindwa kuelewa? Je majaliwa ni mgombea ubunge nani amemruhusu azunguke majimbo ya wenzake ?
NEC: TIMU ZA KAMPENI
Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3).
Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda timu yake ya kampeni siku mbili kabla ya kuanza kwa mchakato wa uteuzi au siku saba baada ya uteuzi, kama ifuatavyo:
1. Mgombea Urais anapaswa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi hamsini (50). (Kanuni 17(1)(a)
2. Mgombea ubunge katika eneo la Tanzania Bara anapaswa kuwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri husika timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi ishirini (20). (Kanuni 17(1) (b);
Kwa hiyo wenye shida na rais nao wasemeje?
Dah! Boss! Amini una kichwa kigumu! Hilo la waziri tena limetoka wapi? Au lisu kaleta swali la nyongeza?2015 waziri gani alizunguka na Lowassa kwenye kampeni??
Lakini pia sheria yasemaje kuhusu utendaji kazi wa hiyo timu ya watu 50, wataruhusiwa kutembea na mgombea wakimnadi au kila mtu anaweza pita apitako anakotaka kufanya kampeni? Kama ni ndio, kuna haja gani ya Tume kuwa na ratiba ya mgombea tu, kwann isiwepo hadharani ya ratiba ya timu yake?Je, Mgombea anaweza kuwa kwenye timu ya kampeni ya mgombea mwingine?
Majaliwa anapaswa kuwa sehemu alipo Makamu wa Rais MAMA SAMIA au alipo MAGUFULI.Weka hapa hiyo sheria,
Kama ni hivyo basi hata wagombea ubunge ambao ni mawaziri wasifanye kampeni
Yaani we umeona tume hapo imejibu sawia kabisa? Kweli bure kabisa😂Ina maana bingwa wa sheria hakuzisoma kanuni hizo. Uzuri amejaliwa kukosa aibu.
Majaliwa afanye kampeni jukwaa moja na Mama Samia au Magufuli hapo atakuwa sawa kisheria.Dah! Boss! Amini una kichwa kigumu! Hilo la waziri tena limetoka wapi? Au lisu kaleta swali la nyongeza?
Hahahhaha.. Washabiki wa Lisu ni wajinga sana aisee!
Sheria zipo na Lisu anaejifanya kujua sheria hatukutegemea kuhoji swali la kipopoma kama hilo
Kwani miongozi mwa waliomsindikiza Lowassa 2015 alikuwa waziri?.Hivi unafikiri hoja za Lissu zinajibika kirahisi rasihi hivyo?.Jibu unalotafuta hapo ni lile la wanafunzi wa darasa la pili. Aliyeko la saba anaelewa sana, ukimuuliza baba yako ni nani, akisema huyu ni mume wa mama inatosha. Yaonekana Lissu hakujua hilo na hakuitumia nafasi hiyo kwa uzembe. Sijui kwa nini hakujiuliza 2015 waliomsindikiza Lowasa walikuwa wanatafuta nini!
Mkuu sio kama ni hivyo, kiufupi hakuna hiko kitu cha wengine kupita huku na huko wakimnadi mgombea urais vinginevyo NEC ingetoa ratiba zao. Team inapaswa iambatane na mgombea full stop, CCM wakifanya ni sawa na mataga hayo wanayafukia. Upumbavu mkubwa huuLakini pia sheria yasemaje kuhusu utendaji kazi wa hiyo timu ya watu 50, wataruhusiwa kutembea na mgombea wakimnadi au kila mtu anaweza pita apitako anakotaka kufanya kampeni? Kama ni ndio, kuna haja gani ya Tume kuwa na ratiba ya mgombea tu, kwann isiwepo hadharani ya ratiba ya timu yake?
Lakini pia sheria yasemaje kuhusu ushiriki wa mawaziri kwenye kampeni?
Hujui unalosema wewe, Mawaziri wote wamekatazwa na sheria ya tume kufanya kampeni.Hapo tumeshajua umbumbumbu wa Lisu kwamba kumbe hadi sheria hakuzisoma.
Kumbe sio waziri kwa sasa ...Kanuni 17(1)(a) - Mgombea Urais anapaswa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi hamsini (50). Kati hao hamsini anaweza kuwamo na aliye kuwa waziri mkuu.