Acheni tabia ya kuuliza swali na kujijibu wenyewe wakati level zenu za ufahamu ziko sawa. Hata wakati TL anarejesha fomu yake ya Uteuzi wa kugombea ilipobainika fomu zake hazikusahinishwa mikoani kwa wakurugenzi/ wasimamizi wa uchaguzi. Wengi ( manyumbu) waliuliza maswali ya kitoto na vikomenti vya kijinga kama hivi. Eti TL anajifanya mwanasheria hakusoma? Hivi TL kwanini hakupitia fomu zake mara 70 kujiridhisha? Vikazuka vikomenti kama hivi " wakikujibu nitag". Lakini mwisho wa siku TL aliibuka kidedea kufuata sheria kuliko wagombea wote! Wote wakaufyata hata wale walioomba kutagiwa hatukusikia tena fyoko fyoko nimetagiwa!Swali zuri kabisa la kiwango cha jamiiforum.
Wakikujibu ni tag