Uchaguzi 2020 NEC yafafanua Timu za Kampeni baada ya Tundu Lissu kuhoji ushiriki wa Kassim Majaliwa katika kuzunguka nchi nzima

Uchaguzi 2020 NEC yafafanua Timu za Kampeni baada ya Tundu Lissu kuhoji ushiriki wa Kassim Majaliwa katika kuzunguka nchi nzima

Swali zuri kabisa la kiwango cha jamiiforum.
Wakikujibu ni tag
Acheni tabia ya kuuliza swali na kujijibu wenyewe wakati level zenu za ufahamu ziko sawa. Hata wakati TL anarejesha fomu yake ya Uteuzi wa kugombea ilipobainika fomu zake hazikusahinishwa mikoani kwa wakurugenzi/ wasimamizi wa uchaguzi. Wengi ( manyumbu) waliuliza maswali ya kitoto na vikomenti vya kijinga kama hivi. Eti TL anajifanya mwanasheria hakusoma? Hivi TL kwanini hakupitia fomu zake mara 70 kujiridhisha? Vikazuka vikomenti kama hivi " wakikujibu nitag". Lakini mwisho wa siku TL aliibuka kidedea kufuata sheria kuliko wagombea wote! Wote wakaufyata hata wale walioomba kutagiwa hatukusikia tena fyoko fyoko nimetagiwa!
 
NEC wangejua bas wangempuuza huyu kibaraka wa Amsterdam af October28 tumuoneshe nikwakiasi gn sisi watanzania tumeamua kusonga mbele
 
Ndugu tuambie basi NEC walitoa ratiba ya kampeni ya Majaliwa lini na wapi?
Ratiba ya Majaaliwa imekuwa embedded na ratiba ya JPM. Nec wanaelewa hilo na apo ufipa baadhi wenye akili pia wanaelewa ilo .
 
Ina maana bingwa wa sheria hakuzisoma kanuni hizo. Uzuri amejaliwa kukosa aibu.
Bingwa huyo hajui sheria huwa anabahatisha.
Kama hajui jeshi la akiba ambao ni mgambo, sasa huyo anajua kweli?
Tatizo anjifanya marchknow saana
 
Ina maana bingwa wa sheria hakuzisoma kanuni hizo. Uzuri amejaliwa kukosa aibu.
Jee mnajua kuwa Majaliwa anaenda hizo safari kama waziri mkuu na kuandaliwa mikutano na serikali?
Hoja za Lissu ni kwa wenye akili tuu, usipojaliwa hutaelewa. Sawasawa mkuu Zygot?
 
Ina maana bingwa wa sheria hakuzisoma kanuni hizo. Uzuri amejaliwa kukosa aibu.

Kanuni kama zinasema ni siku 7 kabla ya uteuzi wa mgombea Urais inatakiwa ateue timu yake ya kampeni na kuiwasilisha Tume.

Siku 7 kabla ya uteuzi wa mgombea Urais , Majaliwa alikua mgombea ubunge, je walijuaje kwamba atapita bila kupingwa hadi akawekwa kwwnye timu ya kampeni? au Tume ilifanya kila liwezekanalo ili.apite bila kupingwa na awe kwenye timu ya kampeni!?
 
Jibu unalotafuta hapo ni lile la wanafunzi wa darasa la pili. Aliyeko la saba anaelewa sana, ukimuuliza baba yako ni nani, akisema huyu ni mume wa mama inatosha. Yaonekana Lissu hakujua hilo na hakuitumia nafasi hiyo kwa uzembe. Sijui kwa nini hakujiuliza 2015 waliomsindikiza Lowasa walikuwa wanatafuta nini!

Lisu ameuliza swali hilo sio kwa bahati mbaya,ameuliza kutufungua akili wananchi ili tuweze kutafakari kwa kina.

Kumbuka waziri mkuu alikua ni mgombea ubunge, je ilikua vipi akawekwa kwenye orodha ya kampeni ya urais wakati wanajua atakua na majukumu jimboni kwake! kwa ajili ya Rais?

Ina maana walifanya mbinu apite bila kupingwa ili aweze kufanya kampeni! kwa ajili ya Rais ?

Subiri tutajua mengi kupitia Tundu Lisu
 
Ina maana bingwa wa sheria hakuzisoma kanuni hizo. Uzuri amejaliwa kukosa aibu.

Hivi huoni aibu?
Mgombea urais anaweza akawasilisha team ya watu hamsinj lakini mgombea ubunge team ya watu kumi na saba sasa wapi sheria inasema mgombea ubunge afaa kuwa katika team ya watu hamsini wa Rais? Think twice
 
Bingwa huyo hajui sheria huwa anabahatisha.
Kama hajui jeshi la akiba ambao ni mgambo, sasa huyo anajua kweli?
Tatizo anjifanya marchknow saana
Hoja za Lissu zipo juu ya uwezo wako....
ww kojoa ulale tu
 
Hivi huoni aibu?
Mgombea urais anaweza akawasilisha team ya watu hamsinj lakini mgombea ubunge team ya watu kumi na saba sasa wapi sheria inasema mgombea ubunge afaa kuwa katika team ya watu hamsini wa Rais? Think twice
ABC za sheria kwako ni sifuri, zero! Kwa nini ndani ya CHADEMA mtu anaweza kugombea ubunge na udiwani kwa pamoja?
 
Jibu unalotafuta hapo ni lile la wanafunzi wa darasa la pili. Aliyeko la saba anaelewa sana, ukimuuliza baba yako ni nani, akisema huyu ni mume wa mama inatosha. Yaonekana Lissu hakujua hilo na hakuitumia nafasi hiyo kwa uzembe. Sijui kwa nini hakujiuliza 2015 waliomsindikiza Lowasa walikuwa wanatafuta nini!
Waliomsindikiza Lowasa walikuwa naye na walifata ratiba ya Lowasa.
Huyu Majaliwa yupo kwenye ratiba ipi ya tume? Magufuli, Lisu, Membe, Lipumba Wana ratiba zao Tume ya uchaguzi, sasa huyu Majaliwa anafuata ratiba ipi?
Tume watuoneshe ratiba yake iliyotolewa na tume na sio kuleta blabla
 
Kwa nini hufanyi HW yako? Kila kitu unataka uambiwe hapa JF! What a hell. Ratiba inatolewa kwa chama, siyo kwa Lipumba, Lissu, Magufuli au Majaliwa!
 
Back
Top Bottom