Uchaguzi 2020 NEC yatoa ratiba ya mwisho: Lissu atafungia Dar, Magufuli Dodoma

Uchaguzi 2020 NEC yatoa ratiba ya mwisho: Lissu atafungia Dar, Magufuli Dodoma

MAGUFULI anatoboa tu haina haja ya makasiriko,upinzani hauna sera.RAIS NI MAGUFULI wenyewe wanajua na DUNIA inajua.
Nireteeeeeeeeeeeniiiiiiiiiiiiiiiiii Gwaaaaaaaaaa......🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

🤭🤭🤭
 
tuwekeeni hapa iyo ratiba na sisi tuione tufate ratiba za mgombea wetu john joseph pombe magufuli T2020JJPM
 
Dodoma huipenda ccm na huipa ushindi asilimia zote ingetakiwa aende mikoa ambayo hajakanyaga kabiss
 
Mapokezi ya Shujaa Lissu yataanzia Kongowe hizo ndio zitakuwa salamu za mwisho kwa Magufuli na Wasanii wake
Mtaishia kusema chenga tuliwala a tume imewabeba.hizi mbwembwe zenu dawa yenu inachemka
 
Ni kweli tarehe 19/10/2020 atakuwa Pwani Bagamoyo akiwa njiani kuelekea Korogwe Tanga then Same na kuendelea Moshi, Hai, KIA User River, Arusha na kuendelea Karatu, Babati, Kondoa, Dodoma. Sisi wenye chama dume tunakueleza.
Heeee😲 hii show yataka punzi ujue. Mnaandika tu kishabiki.
 
Akae hukohuko anatukera tuleteeni Lissu huyo Msukuma asikanyage huku anatisha raia hatumtaki hana mvuto wowote, sura mbaya, kauli mbaya, lughà mbaya na mtu mbaya sidhani hata Mungu anampenda kama anavyodai mwenyewe maana ni mwongo wa kupindukia.
Maneno yako hayana staha aisee jifunze lugha nzuri hamna mtu mubaya aliyeumbwa na Mungu vizury kukosoa vingine sio kuzidi chuki
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya mwisho ya kampeni za urais inaonyesha wagombea wanaochuana katika Uchaguzi Mkuu, Rais John Magufuli wa CCM atafunga kampeni zake Dodoma huku Tundu Lissu wa CHADEMA akihitimisha Dar es Salaam 27 Oktoba 2020.

Ratiba inaonyesha mgombea wa CCM, Rais John Magufuli ataendelea na kampeni tarehe 19 Oktoba 2020 atakuwa Bagamoyo-Pwani na Tanga. Ratiba hiyo inaonyesha Magufuli hatokwenda mikoa ya Kusini ya Lindi, Mtwara na Ruvuma.

Leo 17 Oktoba 2020 Lissu atakuwa Singida na Dodoma.
===================

Hivi Magufuli alishaenda Mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro?
Atamaliza mikoa ya tanga,Arusha,moshi na manyara
 
Hawezi kwenda kilimanjaro maana bado wanamdai fidia ya bomoabomoa ya kimara mbezi
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya mwisho ya kampeni za urais inaonyesha wagombea wanaochuana katika Uchaguzi Mkuu, Rais John Magufuli wa CCM atafunga kampeni zake Dodoma huku Tundu Lissu wa CHADEMA akihitimisha Dar es Salaam 27 Oktoba 2020.

Ratiba inaonyesha mgombea wa CCM, Rais John Magufuli ataendelea na kampeni tarehe 19 Oktoba 2020 atakuwa Bagamoyo-Pwani na Tanga. Ratiba hiyo inaonyesha Magufuli hatokwenda mikoa ya Kusini ya Lindi, Mtwara na Ruvuma.

Leo 17 Oktoba 2020 Lissu atakuwa Singida na Dodoma.
===================

Hivi Magufuli alishaenda Mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro?
 
Ratiba yake inaonesha mikoa mingine Tu lkn sio kusini
Hivi unaposema kusini una maana ya mikoa gani?? Kwa sababu ratiba inaonesha atafika mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma ambayo ndiyo mikoa ya kusini. Kama una maana ya mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya, hiyo ni mikoa ya nyanda za juu kusini. Ni vizuri mgawanyo huu wa kijiografia na kikanda ukaujua.
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya mwisho ya kampeni za urais inaonyesha wagombea wanaochuana katika Uchaguzi Mkuu, Rais John Magufuli wa CCM atafunga kampeni zake Dodoma huku Tundu Lissu wa CHADEMA akihitimisha Dar es Salaam 27 Oktoba 2020.

Ratiba inaonyesha mgombea wa CCM, Rais John Magufuli ataendelea na kampeni tarehe 19 Oktoba 2020 atakuwa Bagamoyo-Pwani na Tanga. Ratiba hiyo inaonyesha Magufuli hatokwenda mikoa ya Kusini ya Lindi, Mtwara na Ruvuma.

Leo 17 Oktoba 2020 Lissu atakuwa Singida na Dodoma.
===================

Hivi Magufuli alishaenda Mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro?
Unadhani katika kufunga kampeini yake hapa Dar Lissu atasema HOJA gani au atazungumzia MATUKIO ikiwa ni pamoja na mvua za juzi na "mafuriko" ya juzi au atazaungumzia vifo vilivyotokea hapa Dar juzi? Jaribu ku - speculate on this mdau wa JF.
 
Ukondoo ukutoke wewe,maana pamoja na kelele zote bado huachi kushiriki. Unawaza machafuko ili ufaidike na nini,nchi ambazo machafuko yamefanikiwa wamepata nn.
Endelea kuwazia matakoni eti ni lazima machafuko.

Kenya hapo kulitokea machafuko 2007 baada ya wahuni waliokuwa madarakani kuchezea matokeo ya uchaguzi, ni kipi tunawazidi kiuchumi na huku wana katiba iliyo bora kuliko hii yetu ya kiccm?
 
Back
Top Bottom