Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,357
- 3,550
Nireteeeeeeeeeeeniiiiiiiiiiiiiiiiii Gwaaaaaaaaaa......🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣MAGUFULI anatoboa tu haina haja ya makasiriko,upinzani hauna sera.RAIS NI MAGUFULI wenyewe wanajua na DUNIA inajua.
🤭🤭🤭
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nireteeeeeeeeeeeniiiiiiiiiiiiiiiiii Gwaaaaaaaaaa......🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣MAGUFULI anatoboa tu haina haja ya makasiriko,upinzani hauna sera.RAIS NI MAGUFULI wenyewe wanajua na DUNIA inajua.
Mapokezi ya Shujaa Lissu yataanzia Kongowe hizo ndio zitakuwa salamu za mwisho kwa Magufuli na Wasanii wakeKwani wakati wa uzinduzi ilikuwaje hadi Dar ikashindwa kurindima mkuu
Mimi nilijua zimeshamruka baada ya Nireeteeni gwajimaaaa!!!...anaanza kutoa na nguoNireteeeeeeeeeeeniiiiiiiiiiiiiiiiii Gwaaaaaaaaaa......🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤭🤭🤭
Mtaishia kusema chenga tuliwala a tume imewabeba.hizi mbwembwe zenu dawa yenu inachemkaMapokezi ya Shujaa Lissu yataanzia Kongowe hizo ndio zitakuwa salamu za mwisho kwa Magufuli na Wasanii wake
Heeee😲 hii show yataka punzi ujue. Mnaandika tu kishabiki.Ni kweli tarehe 19/10/2020 atakuwa Pwani Bagamoyo akiwa njiani kuelekea Korogwe Tanga then Same na kuendelea Moshi, Hai, KIA User River, Arusha na kuendelea Karatu, Babati, Kondoa, Dodoma. Sisi wenye chama dume tunakueleza.
Maneno yako hayana staha aisee jifunze lugha nzuri hamna mtu mubaya aliyeumbwa na Mungu vizury kukosoa vingine sio kuzidi chukiAkae hukohuko anatukera tuleteeni Lissu huyo Msukuma asikanyage huku anatisha raia hatumtaki hana mvuto wowote, sura mbaya, kauli mbaya, lughà mbaya na mtu mbaya sidhani hata Mungu anampenda kama anavyodai mwenyewe maana ni mwongo wa kupindukia.
Atamaliza mikoa ya tanga,Arusha,moshi na manyaraTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya mwisho ya kampeni za urais inaonyesha wagombea wanaochuana katika Uchaguzi Mkuu, Rais John Magufuli wa CCM atafunga kampeni zake Dodoma huku Tundu Lissu wa CHADEMA akihitimisha Dar es Salaam 27 Oktoba 2020.
Ratiba inaonyesha mgombea wa CCM, Rais John Magufuli ataendelea na kampeni tarehe 19 Oktoba 2020 atakuwa Bagamoyo-Pwani na Tanga. Ratiba hiyo inaonyesha Magufuli hatokwenda mikoa ya Kusini ya Lindi, Mtwara na Ruvuma.
Leo 17 Oktoba 2020 Lissu atakuwa Singida na Dodoma.
===================
Hivi Magufuli alishaenda Mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro?
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya mwisho ya kampeni za urais inaonyesha wagombea wanaochuana katika Uchaguzi Mkuu, Rais John Magufuli wa CCM atafunga kampeni zake Dodoma huku Tundu Lissu wa CHADEMA akihitimisha Dar es Salaam 27 Oktoba 2020.
Ratiba inaonyesha mgombea wa CCM, Rais John Magufuli ataendelea na kampeni tarehe 19 Oktoba 2020 atakuwa Bagamoyo-Pwani na Tanga. Ratiba hiyo inaonyesha Magufuli hatokwenda mikoa ya Kusini ya Lindi, Mtwara na Ruvuma.
Leo 17 Oktoba 2020 Lissu atakuwa Singida na Dodoma.
===================
Hivi Magufuli alishaenda Mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro?
Hivi unaposema kusini una maana ya mikoa gani?? Kwa sababu ratiba inaonesha atafika mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma ambayo ndiyo mikoa ya kusini. Kama una maana ya mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya, hiyo ni mikoa ya nyanda za juu kusini. Ni vizuri mgawanyo huu wa kijiografia na kikanda ukaujua.Ratiba yake inaonesha mikoa mingine Tu lkn sio kusini
Unadhani katika kufunga kampeini yake hapa Dar Lissu atasema HOJA gani au atazungumzia MATUKIO ikiwa ni pamoja na mvua za juzi na "mafuriko" ya juzi au atazaungumzia vifo vilivyotokea hapa Dar juzi? Jaribu ku - speculate on this mdau wa JF.Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya mwisho ya kampeni za urais inaonyesha wagombea wanaochuana katika Uchaguzi Mkuu, Rais John Magufuli wa CCM atafunga kampeni zake Dodoma huku Tundu Lissu wa CHADEMA akihitimisha Dar es Salaam 27 Oktoba 2020.
Ratiba inaonyesha mgombea wa CCM, Rais John Magufuli ataendelea na kampeni tarehe 19 Oktoba 2020 atakuwa Bagamoyo-Pwani na Tanga. Ratiba hiyo inaonyesha Magufuli hatokwenda mikoa ya Kusini ya Lindi, Mtwara na Ruvuma.
Leo 17 Oktoba 2020 Lissu atakuwa Singida na Dodoma.
===================
Hivi Magufuli alishaenda Mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro?
Afie mbali huko daraja la WamiTunamtakia Magufuli afya njema. Tumshinde akiwa timamu
Sio kwa kura za wananchiKama unahisi anawaogopa subiri tarehe 28 uone huyo msaliti wako akipata 20%
Atapigiwa kura na hizo tv na radioUzuri ni kwamba Magufuli anakuwa live kwenye TV zote kwaiyo watu wa Kilimanjaro, Mtwara, Kundi, Manyara na Ruvuma nadhani, waingie YouTube kumsikiliza huko.
JF ni platform ya ushabiki, anaendelea kujiondolea uhalali wa platform ya great thinkers.
Ukondoo ukutoke wewe,maana pamoja na kelele zote bado huachi kushiriki. Unawaza machafuko ili ufaidike na nini,nchi ambazo machafuko yamefanikiwa wamepata nn.
Endelea kuwazia matakoni eti ni lazima machafuko.
Anzisha platform yako watu wachangie kwa standard zako.
Huyo wa roho mbaya ndo anafaa awanyooshe nyie vibaraka wa mabeberu.