Uchaguzi 2020 NEC yatoa ufafanuzi Lissu kuzuiwa kufanya kampeni Kilwa

Mamlaka zote zimekaa kuhujumu Lissu
Nashangaa wewe unalalama hapa bila aibu wakati Yeye muhusika anajua kabisa anavunja utaratibu lakini kwa makusudi kabisa anajifanya hamnazo..na Wala halalamiki kivile, hustuki..sijui akili yako jomba inatokea wapi
 
NEC haina point. Zimebakia siku 4 tupige kura nyie mnaketi kufikiria mambo ya ratiba ya mgombea urais? Nyie NEC hampo serious! Hii inaonesha kwamba maamuzi hayafanywi na NEC!
Kwenda kule msitufanye hatuna akili..fateni sheria kanuni na taratibu mpaka siku ya mwisho...na dakika ya mwisho
 
Ujinga . Halafu mTz msomi anaunga mkono na kushabikia maamuzi ya hovyo
 
Dar es Salaam, polisi jana Ijumaa Oktoba 23, 2020 walilazimika kutumia mabomu ya machozi kuzuia mkutano wa kampeni wa mgombea urais kupitia Chadema, Tundu Lissu mjini Somanga, Kilwa kwa maelezo kuwa mkutano huo haukuwa halali...

Vipi kuhusu kuhusu Tuhuma za vituo hewa na wapiga kura hewa? Hilo ni kama sija lisikia likifafanuliwa
 
Chadema ni watu wa vurugu na uongo.
Tumekuzoea! Nina uhakika kuwa ndani ya ubongo wako na nafsi yako kumejaa laana! Hoja zako nyingi hazina tofauti na uchafu utokao kwenye banda la kuku yaani mabaki ya pumba na kinyesi Cha kuku!
Hoja zako zinanuka Kama mwili wako!
 
Kwa hiyo NECccm ikamuamba kaka yake policcm amsaidie kuwapiga wananchi mabomu ili kuumiza wazee na watoto walokuwepo hapo

Mbona ilionekana mkutano ulikuwa umeratibiwa vizuri na polccm walikuwa wamejipanga kulinda amani

Na hilo la ticket limekujaje hapo

Necccm nyie watu wabaya sana
 
..Ni kweli aliandika barua.

..sasa kwanini hakupewa ruhusa?

..kwanini Polisi walishambulia wananchi kwa MABOMU?

..nini ilikuwa sababu ya kuuvuruga mkutano wa Tundu Lissu Somanga?
Kwanini nakusubiria kibali, hayo ndio malipo yake.

October 28th ni JPM tuu.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mwambieni lissu usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa, ndio maana amekipelekea chama chake magundu

Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Tumekuzoea! Nina uhakika kuwa ndani ya ubongo wako na nafsi yako kumejaa laana! Hoja zako nyingi hazina tofauti na uchafu utokao kwenye banda la kuku yaani mabaki ya pumba na kinyesi Cha kuku!
Hoja zako zinanuka Kama mwili wako!
 
Kwanini nakusubiria kibali, hayo ndio malipo yake.

October 28th ni JPM tuu.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA

..Nec wanachelewasha vibali kwa makusudi.

..Na sasa Nec wanashirikiana na Tcaa kuleta figisu za kumnyima Tundu Lissu kutua na helikopta ktk maeneo mbalimbali aliyopangiwa kufanya kampeni.
 
Samia SUluhu Pale Kinambeu alisimama bila kuwa na ratiba ya kufanya mkutano pale.. na hata kuandika barua haikufanyika... JPM alisimama huko Ngara jirani kabisa na alipokuwa mgombea mwingine..!!! NDIMI MBILI
Tushawajua hata hawatusumbui
 
Mauaji ya MKIRU
gas ya Mtwara
Korosho ndiyo yaliyofanya azuiwe kufika huko
 
Very wicked CCM. Shetani wakubwa.
Shetani ni Lisu kwa sababu kabla kikao kupangwa na NEC yeye alikimbilia kufanya mkutano kwa sababu tu kapeleka barua NEC .Mwanasheria gani ambaye hafuati hata utaratibu.Kitakacho mponza Lisu ni ujuaji mwingi ,majivuno,maringo ,kukosa subra na kiburi lakini anakuja kuumbuka na vitu vidogo ambapo hakuna sababu ya maana.
 
..Nec wanachelewasha vibali kwa makusudi.

..Na sasa Nec wanashirikiana na Tcaa kuleta figisu za kumnyima Tundu Lissu kutua na helikopta ktk maeneo mbalimbali aliyopangiwa kufanya kampeni.
Kwanini asingesubiria ajibiwe? hilo ndio swali langu

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…