NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020

Matokeo kwa SMS kwa njia ya simu ya mkononi
Piga *152*00#
Chagua namba 8.ELIMU
Chagua namba 2.NECTA
Chagua aina ya huduma 1.MATOKEO
Chagua aina ya Mtihani 2.CSEE
Andika namba ya Mtihani na Mwaka Mfano:S0334-0556-2019 Chagua aina ya Malipo (Gharama kwa kila SMS ni Tshs 100/=)Baada ya kukamilisha malipo utapokea ujumbe mfupi wa matokeo
 
Duuu hii imekaa poa sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…